Ni halali!?

shee leo

Senior Member
Dec 12, 2011
105
22
Kuna utata umetokea baada ya jamaaa zangu Kupendana wakati wanajua ni ndugu ,utata umetokea wanapong'ang'ania kuoana eti undugu wao upo mbali yaani inawezekana MTOTO WAKO AOE MJUKUU WA MJOMBA WAKO??!!maana yametokea mabishano wengne wanakubali wengne wanakataa,jamaa zangu wapo njia panda kwani ndugu hawajui km wameshawahi kushiriki kimwili mara kibao eti wamewakataza kujaribu kufanya hvyo kumbe ni too late.
 
Mimi mwanamke ambaye stamuoa ni dada yangu wa tumbo moja au binti yangu, binti wa kaka zangu kwa baba na mama au binti wa dada zangu kwa baba na mama au kama mama kaolewa na mwanaume mwingine basi dada/kaka zangu kwa mama.

Na mwanamke yoyote wa dunaini akisha nipe kuonja hata mara moja, basi asahau kama atakuwa mke wangu.

Wengine wote ni ruksa.

Yani mimi mtoto wa mama yangu mkubwa na mdogo...naoa.

Mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo...naoa.

Mtoto wa mjomba wangu na shangazi yangu ...naoa.

Yani hata mtoto wa cousin yangu akiwa mzuri naoa....na atakae niona **** basi yeye ndo atakuwa falaa mara 50 yangu :biggrin:
 
Ndugu ni ndugu tu kwani wanawake wamekwisha?? Labda kama ni waarabu.
 
Ndugu ni ndugu tu kwani wanawake wamekwisha?? Labda kama ni waarabu.
Wewe unaposema ndugu unakusudia ndugu kivipi?

Kwa hio ukifa hata watoto wa mama yako mkubwa/mdogo waje kuchukua urithi sii ndugu :biggrin:
 
Ili mradi mmependana ruksa ila laana ndo so babu siunajua hawa wazee wa sasa wanavyokimbilia laana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom