Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,065
Mi nafiri huyo dada alikuwa na hasira tu, au zaidi alikuwa na 'frustrations'...kwa sababu inaelekea uhusiano wake na wifi yake si mzuri kabisa, ndio maana wifi anaona bora aondoke tu akaanze maisha yake na yeye (first rejection), Pia naona kaka yake inaelekea ameshikwa na mkewe kiasi ( au anampenda sana mkewe) kiasi anakubaliana na umamuzi wa mdogo wake kuondoka awaache huru, na hii imepelekea kumshinikiza dada yake aondoke (second rejection). Halafu anakimbilia kwa boyfriend/mchumba wake ambaye kwa kweli katika hali hiyo ni kimbilio lake, bf naye analeta 'longo longo' sijui kasubiri, sijui rudi kwenu (thrid rejection).....Unaona mwisho wa siku huyo dada 'hana mtu yeyote' (she dont have nobody) kwenye upande wake, she is alone, rejected, confused, frustrated, and depressed (ameshatishia kuua au kujiua)...its logic to be angry and say/do anything she didnt mean!
Kama anampenda...amsamehe mpenzi wake, akae naye, amtulize, kama atabaki naye ahapo kwake au kumrudisha kwao kwa muda..lakini afanye formalities za kuwa naye kihalali!
Huyo dada anahitaji msaada, na siyo maamuzi ya hasira kutokana na jinsi alivyobehave vibaya. Na msaada huo the way I see it unaweza kutoka kwa huyo jamaa yake tu!