Ni dstv decoder mpya inauzwa pamoja na ungo wake imeshaunganiswa na sijawahi kuitumia

Wadau mnaopenda kwenda na wakati hii ni chance yako ya kupata dstv decoder mpya toka nimeinunua sijawahi kuifunga na nimeshaunganishwa phone 0713532322

Kaka nimekuandikia toka last week, njoo kwenye PM nijue jinsi ya kuchukua huo mzigo
 
Kwanini unaiuza? Au unataka kuwaingiza watu mkenge?
Wadau mnaopenda kwenda na wakati hii ni chance yako ya kupata dstv decoder mpya toka nimeinunua sijawahi kuifunga na nimeshaunganishwa phone 0713532322
 
huwa dstv kuna acc ya kila mteja sasa wewe unasema wamekuunganisha kwa hiyo huyo atakaenunua hiyo set huoni kama unamuingiza chaka..
 
Nilitaka ninunue kigamuzi cha star times kwani huku dstv ni gharama kulipia thats why nilishindwa kukifunga ...but nimeshauliwa so wadau nimeghaili nitatumia mimi mwenyewe coz naona gharama za kulipia dstv zinazidi kushuka...sory mmechelewa but i was sirious.
A was ready mtu achukue akifunge then ndo anilipe but now siuzi tena
 
Back
Top Bottom