NI Dk SALIM PEKEE ALIYE MSAFI CCM

MkuyuMkubwa

Member
Sep 27, 2009
50
0
Inasikitisha kwamba chama tawala kimejaa mafisadi....Nakubaliana na hoja zote za makombora waliorushiana wabunge wa CCM kwenye kikao cha mzee mwinyi...nimetafakari sana kuhusu uchafu huu. sasa sioni cha wapiganaji wala mafisadi. sasa sioni tofauti ya Lowasa na Mwakyembe, wala Sitta na Chenge, wala Mengi na Rostam...mtu pekee ambae bado naamini ni msafi ni huyu Dk Salim aliyegombea urais2005, nadhani achukue nchi 2010..Nani ana mashaka
 
SALIM ni HIZBU according to CCM(ASP RESIDUE) from zanziabar
 
Inasikitisha kwamba chama tawala kimejaa mafisadi....Nakubaliana na hoja zote za makombora waliorushiana wabunge wa CCM kwenye kikao cha mzee mwinyi...nimetafakari sana kuhusu uchafu huu. sasa sioni cha wapiganaji wala mafisadi. sasa sioni tofauti ya Lowasa na Mwakyembe, wala Sitta na Chenge, wala Mengi na Rostam...mtu pekee ambae bado naamini ni msafi ni huyu Dk Salim aliyegombea urais2005, nadhani achukue nchi 2010..Nani ana mashaka

Huyu mtu ni Msafi.

Ukiacha maskendo ya kupikwa yaliyokuwa yanaibuliwa wakati ule na wanamtandao, kwamba huyu mtu ni HIZBU, na wakatafuta picha za kumdhalilisha za zamaani toka kwenye archieves, SIONI TATIZO LAKE!

Lakini akithubutu kugombea 2010 utaona vijizee vya Zanzibar vinavyojiita vya ASP jinsi vitakavyoibuka na kusema kwa jazba kwamba..."Muungano na Ufe kama huyu Salim akiwa Rais"!

Mimi binafsi nam`admire` sana Salim!
 
Sio kweli Huyu mtu Slowly Killer sasa sisi twamjua wenyewe Zanz kwanini tusimpe Urais acha bwana huyu pusi sana mwambie Kaitendea nini AU na TZ si kujilimbikizia mimali. Kama wewe Humjui Enzi za Mwalim Basi miaka hii utaona mzuri. Nyerere hakumuona akampa MH. Mwinyi?????
 
Sakata la Wana-CCM unaweza kulitengenezea movie moja maridadi sana! Kwa ujumla naweza kulilinganisha na movie ya LOST! Unaweza kumwona character mzuri sana, wakati movie inaendelea aliyekuwa mzuri anaonekana mbaya kupindukia na aliyeonekana mbaya anabadilika kuwa mzuri sana! Kadri unavyozidi kuiangalia na wewe unakuwa LOST! Huyo Salim wakija kufunua mabaya yake hutakuwa na hamu naye! Kwanza watamwacha afurukute, kisha watamzima kiaina na hatanyanyuka kisiasa tena! Kaazi kweli kweli!
 
Sio kweli Huyu mtu Slowly Killer sasa sisi twamjua wenyewe Zanz kwanini tusimpe Urais acha bwana huyu pusi sana mwambie Kaitendea nini AU na TZ si kujilimbikizia mimali. Kama wewe Humjui Enzi za Mwalim Basi miaka hii utaona mzuri. Nyerere hakumuona akampa MH. Mwinyi?????

Kwa hiyo kama Nyerere angesema Salmin ni msafi ndio ungekubali?
 
Tatizo siyo kuwa msafi tu tatizo ni je anaweza kuongoza? Na mimi sina uhakika kama ni safi kiasi hicho. Salim alikuwepo serikalini wakati ambapo kulikuwa hamna skendo nyingi zinazo ibuka( aidha kama walikua waadilifu au mambo tu yalikua haya onekani). Baada ya hapo akaenda O.A.U kwa maana akawa nje ya serikali na siasi za nyumbani. Kwa hiyo kuona uadilifu wake lazima tuchunguze kipindi chake cha uongozi O.A.U.
 
Dr Salim tatizo ni mbaguzi na alikuwa na lawama sana pale OAU. Mimi simuamini huyu mzee hata kidogo
 
Do you guys really know Salim? Do you know he accepted money from Abacha?
 
Dr Salim tatizo ni mbaguzi na alikuwa na lawama sana pale OAU. Mimi simuamini huyu mzee hata kidogo

Ndugu utendaji haupimwi kwa hisia bali ni vitendo. Hiyo nadharia ya kuwa Salim mbaguzi umeitoa wapi? Nyie ndio wale vijezee vya CCM wenye akili finyu na mtazamo mdogo ambao umetuleta hapa tulipo sasa.

Tanzania inabadilika tuwe transparent na sio kujudge watu kwa rangi au kabila lao bali kwa utendaji wao na ufanisi wa kazi. CCM wakae wakijua hizi zama ni zama nyengine damu changa na watu wanauchungu na kodi zao biashara kusema huyu hizbu huyu mshiraz zinakufa sasa hivi wewe ni fisadi au si fisadi kama fisadi kaa pembeni tu
 
Hivi wakuu kuna mtu anayejua utendaji wa Salim tangia balozi alizopewa na Nyerere,Uwaziri,uPM na huko OAU?Manake usilolijua ni kama usiku wa giza.Leo hii watu wanakuja hapa kutuaminisha kwamba Salim ndiye msafi CCM, bora awe yeye Rais 2010.Sasa labda ni upotoshaji tu wa makusudi au labda huyu naye yuko kama wengi tulivyo kwamba hatumjui Salim na scandals zake.
Najua hili jukwaa la JF ni kubwa na linapitiwa na watu wengi.Sasa kukiwa na upotoshaji basi wengi wanaweza kupotoka.
Sasa wakuu wenye dataz za Salim please tujuzeni na sisi vipi ilikuwaje mpaka Nyerere alimuamini sana na tena kuna madai alishamtaka awe Rais mara kibao,sema Salim mwenyewe alikuwa anachomoa.
Salim ana sifa kweli,anafaa au akipewa yeye nchi tutaanza kulalamika tena bora tungebaki na Kikwete tu?
 
nini tatzo la Hizbu wa enzi hizo?tuache dhana potofu.
Dk SALIM ndie pekee msafi CCM,nani anabisha?

Kwa vigezo gani Mkuu?Manake usiseme msafi tu bila kutuambia jinsi unavyoujua usafi wake.
 
Well, Salim bado ana busara za kutosha kuisaidia Tanzania kuelekea kwenye maendeleo. Lakini hata kama Salim hatapata urais bado vijana kama Samwel sitta ni waadilifu na wanafuata matakwa ya wananchi katika kuleta maendeleo. Sitta Anafaa pia kuiongoza nchi yetu.
 
dk salim nae ni fisadi ameshilikiana na dk mo ibrahim kuanzisha celtel kwa kutumia pesa za ttcl kwa kujifanya wawekezaji na kampuni yao ya MSI INTER pamoja na rafiki yake warioba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom