Ni dhahiri sasa kuwa serikali ya ccm inweza kuwa na baraza la mawaziri 20.

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
ndugu zangu kwa hali iliyopo ccm ya kujibu mapigo ya upinzani ni dhahiri sasa kuwa kile kilio cha kuwa na baraza dogo la mawaziri sasa linawezekana.
kwa nini nasema hivyo ni hali iliyojitikeza ndani ya chama hicho baada ya kujitafakari na kujichuja wao kwa wao na kuona katika mawaziri 60 ni watano tu wanaoisaidia serikali na chama.na kati ya hao watano ni watatu tu ambao wakisimama hata mbele ya wapinzani wanawez kuzungumza bila kigugumizi kikubwa.
kwa hiyo hao watano ukichambuachambua ndani ya wale 55 unaweza kupata hapo 15 wakujazia hapo ili kupata baraza dogo ambalo litakuwa na tija na kuwajibika kwa wananchi.
waliposimama mwakyembe,magufuli na tibaijuka walizungumza yale wanayozungumza kila siku haijalishi walikuwa wanashangiliwa na wale kina mama wa mabwepande wanaolia kila siku kuwa serikali imewatelekeza kule na hatujui hela za kukodi magari ili kuja jangwani walipata wapi.

ninamshauri rais kwa kuwa uteuzi wa wabunge hakuna mahali anapobanwa na sheria avunje tena baraza lake la mawaziri na kurudisha wale wachahe wanaomsaidia.atafute kama mil 500 ampe nape akusanye watu kama mara mbili ya wale aliokusanya juzi na kupeleka bara za zima la mawaziri mbele yake na kupigiwa kura,apandishe mmoja moja na kuwauliza wanaccm jama huyu anafaa hafaiiii. jibu atakalo lipata litampa mwanga wa kupunguza hilo baraza.

naomba wenye ushauri katika hili wamsaidie rais wetu.
 
mhhh??kaka hivi ni sawa kumpandisha kiongoz na kuuliza kama anafaa au la??mimi sijui naomba kuelimishwa.
 
mhhh??kaka hivi ni sawa kumpandisha kiongoz na kuuliza kama anafaa au la??mimi sijui naomba kuelimishwa.

kaka kumbuka rais hafanyi kazi bila shinikizo na chama chake kinafanya yanayoanzanzwa na wapinzani.kwa vile hajaweza kukata kiu ya watanzania ya kupunguza baraza na kununua watu ili wapewe takwimu zisizo na umuhimu kwao kwa sasa ndio maana nikamshauri atumie mtindo wa sadakalawe.
Upoo.
 
Back
Top Bottom