Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Tanesco wamekuwa na spin nyingi sana za matengenezo. Leo wametutangazia kutakuwa na ukosef wa umeme ilala kuanzia saa 3 had saa 11 tar 27 mwez 9. pia wametangaza kinondoni watakosa umeme tar 28 mwez 9 kuanzia saa 2 had saa 12. nafkir kuna mgawo na umeratibiwa vema kwa ushirikiano wa tanesko na TMA. eti kuna el ninyo. Na hawa tanesko ndo wamekuwa wakikata umeme kwa kisingizio cha matengenezo kupisha eln ninyo. hamna el ninyo wala el nyonyo. Leo bado sku nne tu mwez wa kumi uanze na akuna ata dalili ya mvua. Tanesco wastuchezee akili. Tangazeni ka kuna mgawo 2juwe moja.