Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,781
- 3,072
kwa hali ya mambo ilivyo ccm wamechanganywa sana na hili vugu vugu la mabadiliko. Kwa mambo ambayo viongozi wa ccm wanafanya inaonesha kabisa wamepanic na hawajui waanzie wapi.
Kwanza kabisa ni serikali kutoa majibu ya matatizo ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara. Ccm imeandaa mkutano wa kutoa majibu ya matatizo ya ajira, uchumi, uchukuzi n.k. Je serikali inaendeshwa kwa kujibu wananchi kwenye mikutano ya hadhara?? Leo unawajibu waliopo dar es salaa, je waliopo namtumbo utaenda kuwajibu lini?? Na wa ujiji je??
Pili ni viongozi wa ccm kutumia kauli chafu kwa upinzani na wana ccm wanaokihama chama hicho. Tumeshuhudia nape akiwakashifu wanaokihama ccm kwamba ni vinyago mara oli chafu n.k. Wassira akipewa nafasi yeye ni kuponda chadema tu kwa nn ccm mnaweweseka hivi??
Mimi nawashauri acheni kuiga kila chadema wanachofanya, nyinyi ndio mmeshika dola, tekelezeni ilani, kuzeni uchumi na mmboreshe maisha ya watanzania hakika watawakumbuka kwenye sanduku la kura. Ila mkiendelea kuweweseka hivi kifo chenu kitakuwa rahisi mno.