Ni chuo gani wanafundisha uadilifu?

mpingomkavu

Member
Nov 26, 2010
94
0
Wana JF naomba kuuliza kama kuna chuo cha uadilifu duniani tuwapeleke hawa viongozi wetu nao wakapate hiyo dozi ili wabadilike kwani wao wanajifanya wanhubiri utawala bora lakini watamkayo siyo wayatendayo:plane:
 
Nafikiri chuo ni nyumbani & familia.

Kwa nini? Kwa sababu mwanadamu ana hulka ya kujifunza kwa kuona na hasa katika mambo anayopenda. Na pili kwa sababu malezi (ambayo ndio shule kubwa ya awali), inamkutanisha mtoto na wazazi, nudgu, jirani na jamii hilo darasa huwa na impact sana katika maisha ya baadaye ya kiumbe anayehusika.

Huo ndio mchango wa awali, wengine wanayo maoni bora zaidi tuwaikilize.
 
Chuo ni MOYO wa mtu mwenyewe. Unakabiliana vipi na TAMAA, VISHAWISHI na GHILIBA za dunia hii?
 
CHADEMA? hayo masihara. Kila siku wanagombana kutokana na kukosa maadili - mapinduzi ya kijeshi ndo suluhisho nchini Tanzania
 
Back
Top Bottom