Ni CCM Iliochakachua Uchaguzi Wetu Mkuu 2010???

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,190
Je, Ni CCM Ipi Hasa Iliochakachua Uchaguzi Wetu Mkuu 2010???

Wan-JF, malalamiko yako kila kona ya nchi yetu kuhusu uchakachuaji wa uchaguzi kwa njia ya aibu sana usoni mwa ulimwengu, laki mchakachuaji bado, ambaye mpaka sasa anadaiwa kuwa ni CCM, hatujaweza kumchambua vilivyo, jinsi gani alivyofanya, na kwa kuegemea udhaifu upi hasa.

Kuna rafiki yangu alikua akinifahamisha kwamba kuna CCM nyingi sana siku hizi. Kwa kutofautisha akataja aina mbalimbali za CCM kama ifuatavyo:

1. CCM Nyerere (Uadilifu / Masikini)

Akasema kwamba hii CCM ni ile yenye rangi ya Kijani ya mgomba na kwamba Timu yake inaundwa na Wachezaji Maarufu kama vile

(1) Namba Tisa Joseph Sinde Warioba, Namba Kumi Salim Ahmed Salim, Job Lusinde, Mzee Butiku, Mama Maria Nyerere, Mama Karume, Mzindakaya, Mzee Kisumo, Prof Shivji, Prof Mwandosya, Dr Mwakyembe, Ole Sendeka, Mzee Malecela, Mnauye Junior, Hussein Bashe, Ben Mkapa, Mwakalebela, Sitta, Getrude Mongela, Magufuli, Pinda, Prof Luhanga, Joseph Rwegasira, Mjeshi Shirima, Kilango, Mzee Bomani, Prof Sarungi, na wengine wa aina yao ... then akazungumzia;

2. CCM Academia (Wachacharikaji / Mamilionea)

Wakiongozwa namba tisa wao Mhe Rostam Aziz, Namba Kumi Edwardi Lowassa, Ridhiwani Kikwete, January Makamba, Lau Masha, Mhe Diallo Anthony, Mshambuliaji Machachari Makamba, Mchezaji wa Kuvizia Kpt Chiligati, John Komba, Mzee Mwinyi, Gachuma, Lameck Airo, Prof Mukandala, Dr Benson Bana, Owino Maina, Pesambili Mramba, na wengine kama wao .... tena akaongeza ya kwamba kuna;

3. CCM Liberals (Yatima / Vuguvugu)

Prof Magembe, Dr Kigoda, Mornica Mbega, Komanya, Banduka, Ole Njolay, Lukuvi, Dr Mwinyi, Aisha Kigoda, Lewis Makame, Odunga, Mudhihir, Hawa Ngulume, Felix Mosha, Kamara, Mwapachu, Ndolanga, Mengi, Nagu, Kimiti, Kileo, na wengine wengi

Sasa, je kati ya CCM hizo hapo juu nanyinginezo ambazo huenda bado hatuzifahamu, ni CCM ipi hasa ambayo huenda wanahusika na kilio cha taifa kuporwa haki ya kujichagulia viongozi wa kuwawakilisha kidemokrasia??

Je, ni haki kuwalaumu wana-CCM wote kwa kosa la kikundi kimojawapo tu ndani mle??

Je, CCM ikifa leo au kesho ni kundi gani hapo juu ambayo ndio wa kulaumiwa??
 
Ni sawa kuwalaumu wana CCM wote hata kama kundi moja tu katika hayo uliyoyataja ndiyo lililofanya uchakachuaji huo........... HII NI KWA SASA HAYO MAKUNDI AMBAYO UNADHANI HAYAKUFANYA UCHAKACHUAJI............. HAYAJAWAHI KUPINGA HADHARANI......NA VILE UCHAKACHUAWAJI WA KUNDI MOJA UMEFAIDISHA MAKUNDI MENGINE NA HAYO MAKUNDI YAMEPOKEA FAIDA HIYO AU HIZO KWA MIKONO MIWILI.............. KWA MANTIKI HIYO...................WANA-CCM WOOOOOOOOOOOOTEEEEEEEEEEEEE WAMECHAKACHUWA
 
Lakini kuna HAKI kweli kulaumu wana-CCM wote kwa ujumla wao katika hili janga la kitaifa kwa sasa???

Wana-JF, tuache mijazba isiyokua na msingi tunapotoa maoni yetu juu ya mada fulani. Swala hapa ni kuzungumzia kama kweli ni HAKI kuwalaumu wote kwa pamija licha ya tofauti hizo hapo juu au la!!!! Na pia ingependeza kutumia sababu za kuegemezea mani yako. Tukifanya hivyo ndipo yale mada ya Great Thinkers utakapoonekana kweli.

Nawashilisha hoja.
 
Back
Top Bottom