Ni burudani au ni kutangaza madawa ya kulevya?

Dilunga

JF-Expert Member
Apr 8, 2009
679
49

Sijui wengine wangeonaje, lakini binafsi nadhani Rais anaepambana na madawa ya kulevya hatakiwi kuingiza Ikulu vijana vya bongo flava vilivyo vaa paraphernalia za madawa ya "Kaya" na "Speed."

Nadhani Rais anaeheshimu State House kama Nyerere angewafukuzilia mbali hawa:

i373_kikwetewasanii.jpg

 
Ndio rais wetu huyo..anawajua akina Chege kwa majina..Ila anapoteua wakuu wa wilaya, wengine hajui hata kama wanakabiliwa na kesi mahakamani..na hivyo kuishia kuleta songombingo na upotevu wa hela za walipakodi unnecessarily..
 
Well....sioni ubaya wowote kama hawa influence sera zake. Kwanza hiyo State House si ni jumba la wananchi? Sasa kwa nini ubague? Hao wasanii ni Watanzania vile vile na kama hawaku misbeahave basi poa tu.....rukhsa na wao kwenda kutembelea Ikulu
 
Back
Top Bottom