Ni bora ufanye mapinduzi kuliko kupata mwanamke ambaye yupo single!!

Kwa uzoefu wangu wanawake wengi ambao.unamtongoza na unakuta hana mtu kabisa wengi wanakuwa na matatizo ambayo hayavumiliki!! kwa kifupi huwa unakuwa mfupa uliowashinda wenzako!!

Kama una hela ni bora ukampokonya tu kifaa mnyonge kwako, mambo yanaweza kusonga mbele!!
Hivi mkuu mwanamke ukimpata kwa njia hiyo unawezaje kumwamini... Jaribu kujiuliza kama wewe uliweza kumpata mwingine atashindwa.... Yani namaanisha na wewe hutokua perfect kila sehemu so akitokea mtu meingine mwenye maneno mazuri ya kukuzidi hapo ndo itakua expire date yako kama ilivyokua kwa mwenzako... May be kama huna mipango ya kufumu nae... Sema kama itatokea mchizi alikua anamuonea malkia hapo itabidi umpe somo la mapinduzi.
 
Back
Top Bottom