Ni bora ufanye mapinduzi kuliko kupata mwanamke ambaye yupo single!!

Kama uliweza kumshawishi akakubali aliye naye siku akipata aliyekuzidi kipato na wewe atakuacha tu.
 
Sio kila anayekwambia yupo single hana mtu kweli, wengine wana watu wao tokea zamani anakuwa anapima uwezo tu, ukishinda wewe anapigwa chini kimya kimya bila hata wewe kujua.
 
Kwa uzoefu wangu wanawake wengi ambao.unamtongoza na unakuta hana mtu kabisa wengi wanakuwa na matatizo ambayo hayavumiliki!! kwa kifupi huwa unakuwa mfupa uliowashinda wenzako!!

Kama una hela ni bora ukampokonya tu kifaa mnyonge kwako, mambo yanaweza kusonga mbele!!
Ila uwe muangalifu wakati unampora mwenzio,maana wako wengi walio na mafupa yao ambao wameamua kuyavumilia, sasa ukiingia kichwakichwa unaweza kukuta unalia,na kurudi nyuma huwa ni kazi sana mkuu.
 
Umeongea kweli mm nilikutana na hali hiyo wiki hii nimekutana na demu town asubuhi nikaomba namba nikapewa jioni nikakutana nae akala kama 25000 tukaachana hata sijamtongoza kabla sifafika home kanipiga kibomu cha 20000 dah! Nikashangaa sana ikabidi na mm niombe mzigo ananiambia oooh ni mapema sana nikamwambia mbona ww umeniomba hela mapema oooh nina shida ndio maana nimekuomba nikampotezea kanisumbua mpaka amechoka jana kanipigia simu ananiuliza nifute namba yako nikamwambia poa tu hajapiga simu tena yaani ni shida
That triangle has lost the value these days! Wadada hata hamuachi mwanaume akasweat na ku suffer 4ur love! They easily submit themselves to any idiot! aah wakujielewa wanajielewa wale ma HP (hopeless) endeleeni kuyakanyagia tuu hadi yapate akili! Mtu anatunza sim kuliko mwili wake ! Si wehu huuu
 
Hii inaendana na Mwanamke Bikra, anazingua sana, mkikosana kidogo analalamika kwasababu umeshapata ulichokua unakitaka! mbavu zao.
 
Umeongea kweli mm nilikutana na hali hiyo wiki hii nimekutana na demu town asubuhi nikaomba namba nikapewa jioni nikakutana nae akala kama 25000 tukaachana hata sijamtongoza kabla sifafika home kanipiga kibomu cha 20000 dah! Nikashangaa sana ikabidi na mm niombe mzigo ananiambia oooh ni mapema sana nikamwambia mbona ww umeniomba hela mapema oooh nina shida ndio maana nimekuomba nikampotezea kanisumbua mpaka amechoka jana kanipigia simu ananiuliza nifute namba yako nikamwambia poa tu hajapiga simu tena yaani ni shida

Hawa ndugu huwa wanajilipua sio kidogo ila ndio ivo tumeumbiwa wala usingemuuliza swali wala P huwa wanajiuliza sana
 
Kwa uzoefu wangu wanawake wengi ambao.unamtongoza na unakuta hana mtu kabisa wengi wanakuwa na matatizo ambayo hayavumiliki!! kwa kifupi huwa unakuwa mfupa uliowashinda wenzako!!

Kama una hela ni bora ukampokonya tu kifaa mnyonge kwako, mambo yanaweza kusonga mbele!!
ukifanya mapinduzi na wewe utapinduliwa mkuu
 
Hapa umeangalia angle moja,mwanamke single kaachwa kwa matatizo yasiyovumilika....vipi yule alie single kwasababu kamuacha mwanaume kwasababu moja au ingine??
Athari za mfume dume hizo.
 
Sababu za kuwa single ni nyingi sana mkuu,mapungufu yapo tu ndio maana kuna break ups na ni maamuzi ya mtu kutoka kwenye uhusiano mmoja na kuanzisha mwingine bila kujipa muda. Lakini haina maana kwamba wengi wao ndio mifupa iliyowashinda fisi big no..
Samaki mmoja akioza.....
 
'Ukimpokonya mwenzio ujue na wewe kuna siku utapokonywa' maana wewe umewezaje kumshawishi akamwacha mwenzie,atakuja mwingine apige sound atakukimbia,mi bora ninyibebee huyo ambaye hana mtu kwa wakati huo anaweza kuwa katendwa huko nikajibebea kiulainiii.
 
Back
Top Bottom