Ni bora CHADEMA ifutwe

Nafikiri wewe sio mwiba ni kichuguu and i seriouly wonder if u are one of the great thinkers of ths amazing forum!
Ni jambo gani ambalo Chadema wanalipigania recently ambalo halina maslahi kwa Taifa? Lipi? Lipi ambalo Chadema wanali-uphold halafu wanawaburuza wananchi kukubaliana nalo ambalo ww kwa akili yako unadhani wananchi wanalipinga!!
Kama Chadema kingekuwa chama unachokielezea wewe si tayari nchi ingekuwa vitani!
Mori ya Wananchi wakati wa kutangazwa matokea ya Urais kwa baadhi ya mikoa ilikuwa juu sana kiasi kwamba Slaa angewahamasisha waasi tayari pasingekalika na huo moto ungeenea taifa zima!!
Katika Afrika utapata wapi mtu Mvumilivu kama Slaa na Chama chake? Karibu kila pembe ya Afrika watu wanazichapa,unajua kwa nn?
Stop writing bullshit,after all,hakuna mageuzi yanayopatikana bila misuguano! Rejea historia ya Ulimwengu,halafu niambie nchi moja ambayo ambapo kumekotokea mageuzi ya aina yeyote pasipo frictions!!
 
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!

Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.

Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.

unawaogopa eheee!!! ndo maana unaombwa wafutwe, na bado, kama hujui kuna wanachama wengi tu wa CCM wamepigia chadema kwenye uchaguzi huu kwa kuchoshwa na mambo mabovu yanayoendelea, chama cha wengi wanafaidi wachache, koo fulani, bora CCM ndo ifutwe tuone hiyo miradi yenu inayoshikiliwa na wahindi itakuwaje, tunaijua sana!
 
Nafikiri wewe sio mwiba ni kichuguu and i seriouly wonder if u are one of the great thinkers of ths amazing forum!
Ni jambo gani ambalo Chadema wanalipigania recently ambalo halina maslahi kwa Taifa? Lipi? Lipi ambalo Chadema wanali-uphold halafu wanawaburuza wananchi kukubaliana nalo ambalo ww kwa akili yako unadhani wananchi wanalipinga!!
Kama Chadema kingekuwa chama unachokielezea wewe si tayari nchi ingekuwa vitani!
Mori ya Wananchi wakati wa kutangazwa matokea ya Urais kwa baadhi ya mikoa ilikuwa juu sana kiasi kwamba Slaa angewahamasisha waasi tayari pasingekalika na huo moto ungeenea taifa zima!!
Katika Afrika utapata wapi mtu Mvumilivu kama Slaa na Chama chake? Karibu kila pembe ya Afrika watu wanazichapa,unajua kwa nn?
Stop writing bullshit,after all,hakuna mageuzi yanayopatikana bila misuguano! Rejea historia ya Ulimwengu,halafu niambie nchi moja ambayo ambapo kumekotokea mageuzi ya aina yeyote pasipo frictions!!
Kuna member anaitwa Kichuguu hapa ni mtu makini sana. Tafadhali omba apology
 
CHADEMA chama makini, huyu kiongozi wa kampuni ya ulinzi (aliyewima)asingeweza kuleta zogo mbele ya uongozi wa serikali ya Tanzania inayoongozwa na CHADEMA.

Hapa kiongozi wa kampuni( aliyesimama shati la buluu)analeta zogo mbele ya Mh. Nahodha, Waziri wa Mambo ya Ndani(pia Mbunge wa Kuteuliwa na Waziri Kiongozi mstaafu SMZ) huku watendaji wengine wakicheka na kutabasamu.

Kweli imefika SISIEMU ifutwe kabisa kwa kuruhusu nchi kudharauliwa namna hii kiuongozi,kimaadili, kinidhamu, kiuchumi, huduma za jamii, kiuwekezaji, miundo mbinu yaani listi ni ndeefu mno!

Du! kweli ni sikitiko ooh sikitiko limetupata Watanzania, Tanzania kuwa hivi hii leo chini ya SISIEMU.
 
Hapo Mzungu anawaambia hao wakubwa hamniambii kitu Mimi ninafedha nchi yangu America Ina nguvu naweza hta kuja kuwanunua wote kwanza sisi tunawapa misaada alafu mnathubutu kuongea! Shikeni adabu kabisa mimi nataka kampuni yangu ipewe migodi miwili natoa mwezi moja!
 
kuna slogani ina sema FICHA UPUMBAVU WAKO FICHUA HEKIMA YAKO...nadhani mr mwiba ungeijua hiyi walau ungenyamaza
 
Unaposema matamko ya Chama una maana gani ? Na hao wanaotoa kauli akina nani ? Nijuavyo Mkuu akisema ndio kimesema Chama ila msemaji wa Chama akanushe. Sawa sawaa ?
Kusema kweli mimi nilifurahi sana niliposikia maana sikuona ,kuwa wabunge wa Chadema wamesusia Bunge na pia wametangaza kutomtambua Kikwete kama Raisi alieshinda kihalali,...Lakini haikutimia hata wiki wamerudi na wanamtambua Kikwete na pia imefika kumtaka apinge na kukemea mambu ya Ivorycoast ,niliwashangaa sana ,sasa hivi wanauchanganya umma ,wameacha kule ambako kungewapa nguvu ndani na nje ya nchi wameenda kurukia Katiba ,wamekosea pakubwa sana ,hawajatulia kwenye Katiba wanaenda kupanga mambo ya kufanya mambo kwa nguvu,ikiwa watakubaliwa au hawakubaliwi , they are no more political party ,sasa haijulikani kama ni wapigania uhuru au ni wapigania madaraka ,wandugu kuna njia za kufanya siasa na si mapambano na mabishano na vyombo vya dola.

Kwa kifupi waweza kuwaita 'Kundi la Wanung'unikaji'

Hawajui watokako wala waendako. Wanaruka bila kujua wataangukia wapi.

Cdm kujiita chama cha siasa ni tusi kwa vyama halisi vya siasa.
 
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!

Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.

Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.

acha mawazo ya kijinga chadema ni chama imara na makini.chadema imeamua kutumia peacefully means sio ya kuandamana kama ilivyo fanywa na cuf
 
Wewe ni primitive!Local thoughts kama hizi ni tatito.Unachokizungumzia hukijui.
 
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!

Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.

Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.

Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak (Mwiba Mkali)
 
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!

Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.

Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.

Bangi nyingi...Nonsense!!
 
Inategemea ulivyoelewa tu,ila kila kitu kipo wazi kabisa,kama utaangalia ni namna gani msimamo wa Chadema ulivyo hivi sasa,Chadema wanataka kufanya mambo kinguvunguvu,Chadema wanataka kulazimisha WaTz wakubaliane na matakwa yao au vile waonavyo wao ndio jamii nzima ikubaliane nao na hata serikali iwe inafuata mrengo au matakwa yao ,yaani wanataka kila walitakalo wao lifuatwe na wananchi pamoja na serikali kama halikufuatwa au hawakuruhusiwa basi watumie wananchi kulazimisha ,hii ni jeuri na ni kushindwa kufanya siasa,kwa maana hiyo kama wameshindwa na siasa ni bora wabwage manyanga na sio kutaka kujinyakulia amri kutoka mikononi mwao na kuwatumia watu.

Sisitizo ambalo limekuchanganya ni pale nilipotoa rai kuwa ,wawe wenye kusimamia misimamo yao kisiasa kama waalivyotoka bungeni,nijuavyo walitakiwa wasirudi hadi kieleweke ,hilo halikufanyika,kutomtambua Raisi nalo hilo lingendelea mpaka ikawa kero ndani na nje ya nchi nalo mpaka ieleweke au kieleweke ,lakini wapi hakuna hata moja walilolisimamia kwa umoja na kuliendeleza ,sasa hili la tutafanya ikiwa hatukupewa kibali huoni kama ni kusababsha matatizo,hawaeleweki !! Mambo mengine hayahitaji mpaka mueleweshwe ukitizama tu utaona kuwa Chadema wamepoteza muelekeo na wanakoelekea ni fujo na vurugu ,ndio nikasema bora kifungwe.

Mwiba,
Inavyo onekana wewe unakurupuka pasipo kujua sawa sawa mambo ya siasa. Hujui kwa nini kunakuwa na Uchaguzi wa viongozi.
Vyama vinaundwa na wanachama, vyama vinapewa ridhaa ya kuongoza na wananchi kupitia uchaguzi, kwa hiyo CDM kuwa karibu na wananchi ni kutafuta ridhaa na siyo kuwahadaa.

Wewe si mwana mapinduzi, inavyoonekana kuna kitu unapata kwenye hii serikali dhalimu. Huwezi jenga hoja kwa mtazamo wako huo.
Kichwa yako inaonekana bado imelala.

Lazima ukumbuke kuwa watu walioichagua CCM mwaka 2005 kwa kishindo ndo hao hao wamegundua walifanya makosa na sasa wanataka kufanya mabadiliko lakini CCM hawataki kuwa replaced na vyama vingine na ndio maana wamejaa hila za kila aina kutaka kuendelea kutawala.

Katiba SAFI ni ya watanzania wote. Siyo ya CCM, CDM,CUF, JAHAZI ASILIA, UDP, CCJ,UWT, n.k, inatakiwa katiba inayolenga watu wote.

Sawa MWIBA?

Tia Akilini.
 
Nimepitia post yako kwa umakini na sijafanikiwa kuona logic na ulipokusolewa nilidhani ungekiri kiungwana kwamba "nilipotoka". Kwa kukaidi naona hapo ndio upeo wako wa kuchangia.
 
Inategemea upo mrengo gani,kama ni msukule wa Chadema huko sina la kukufanya,maana umeshachotwa na kasumba za Chadema.Hapa tulipo uma wa wazalendo wa Taifa hili wameshaiona Chadema kuwa haina mshiko ni chama kisichoweza kuonyesha mfano hai na badala yake wamekazania bungeni tu,amini usiamini bengeni hakuna hata moja la faida linaloamuliwa ili kukidhi haja za wazalendo ,ni wao na kutunisha matumbo na kuwajibika kwa yale yanayowanufaisha.

Ni lini na wapi ulisikia hao Chadema kupinga hoja kwa kutumia shilingi ??? Makelele yao ya kupasua maguruneti yamefikia wapi ??? Mwisho wa kikao wanaunga mkono !!! Au sio ? Kila siku mnalipua lakini hakuna anaewasikiliza ,watu wanapinda kushoto nyinyi mnabaki na mwendo mdundo....nyie viipiiiiiii ?
 
Back
Top Bottom