Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,762
- 155,465
- Thread starter
- #21
Kwa kweli mi sijaona benki yenye nafuu.
Zote ni hobela shegela
Zote ni hobela shegela
1.barclays - sijaweza fungua akaunti mpaka leo 7 months sasa - kila kitu walichotaka nimepeleka
2.exim - huwezi kuchukua hata hela yako mpaka wakufadhaishe na uadhirike ukasaini sehemu kama mbili au tatu(uzuri wenyewe wanakubali kwamba ni ushenzi)
crdb - hawana haja na mteja mdogo wala hawajali...bureucracy nyingi ktk huduma zao...sababu wana wateja wa maana na wauhakika ambao wana wa maintain.siku za karibuni systems zao zinakuwa down muda mwingi nafikiri kuliko muda wowote ktk historia ya benki hii....for 8 yrs with this bank sijawahi kwenda kwenye branch yangu halafu nikaambiwa hata pale siwezi toa hela system iko down ..then nasubiri 2-4 hrs..at the same time atm nazo brrrr....nikashindwa na kuondoka ..hii imenitokea mara mbili--hakuna maelezo ya kuridhisha niliyopata..
-nilipoteza kadi ya atm ,ilinichukua 4 months kupata nyingine--kuchelewa siyo tatizo..ila sikupewa sababu za msingi mpaka sasa....all in all ,nafikiri inategemea pia na rangi ya ngozi na fedha uliyonayo....
Hivi kuna mwenye account postal bank?
Mashine za kuhesabia pesa zipo makao makuu tu.
crdb ndio benki kimeo katika cc hawajaili wateja kabisa hasa katika tawi lao la vijana lumumba customer care ni wakali hata ukiwa na shida huwasogelei benki saaaaafiiii na yenye huduma bomba na murua ni barclays kuanzia costumer care na atm zipo bombaaaaaaaaaa ie mbayaaaaaaaaa
1.Barclays - sijaweza fungua akaunti mpaka leo 7 months sasa - kila kitu walichotaka nimepeleka
2.EXIM - huwezi kuchukua hata hela yako mpaka wakufadhaishe na uadhirike ukasaini sehemu kama mbili au tatu(uzuri wenyewe wanakubali kwamba ni ushenzi)
CRDB - hawana haja na mteja mdogo wala hawajali...bureucracy nyingi ktk huduma zao...sababu wana wateja wa maana na wauhakika ambao wana wa maintain.siku za karibuni systems zao zinakuwa down muda mwingi nafikiri kuliko muda wowote ktk historia ya benki hii....for 8 yrs with this bank sijawahi kwenda kwenye branch yangu halafu nikaambiwa hata pale siwezi toa hela system iko down ..then nasubiri 2-4 hrs..at the same time ATM nazo brrrr....nikashindwa na kuondoka ..hii imenitokea mara mbili--hakuna maelezo ya kuridhisha niliyopata..
-Nilipoteza kadi ya ATM ,ilinichukua 4 months kupata nyingine--kuchelewa siyo tatizo..ila sikupewa sababu za msingi mpaka sasa....all in all ,nafikiri inategemea pia na rangi ya ngozi na fedha uliyonayo....
EXIM is the worse bank inTanzania. Ukibahatika kupata ATM card hazifanyi kazi . Ukitaka hela counter eti ukasini mbele ya cashier au meneja akusainie sijui mamabo gani? Upuuzi mtupu. Ukitaka benki nenda nyingine mbaya lakini hii uisende nakuambia.