Ni Benie Sanders au Hilary Clinton

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,271
33,875
Ukiangalia mchuano unaoendelea kwenye kura za maoni za chama cha Demokratik na Repulikan ninadhani kuwa Rais ajaye wa Marekani atatoka kwenye chama cha Demokratik. Ama atakuwa ni Benni Sanders anayetumia sauti yake yenye ushawishi kuvuta wapiga kura wa Demokratik au ni Hilary Klinton anayejivunia Rekodi yake ya kiutendaji wakati akiwa ndani ya Seneti au akiwa Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani.
 
Utaratibu usio rasmi wa US, baada ya historia ndefu ya migogoro kati ya Democrats na Republican - kuwa na balance ni kuachiana miaka 10 - Democrats amemaliza. Sasa ni zamu ya Republican. No matter how best the democratic candidate is, Republican have to win election
 
Donald Trump hana ajenda zaidi ya kutukana Waislam, waAfrika na kusifu Utajiri wake.
 
Kwao ni miaka minne minne!!
 
Ukiangalia mchuano unaoendelea kwenye kura za maoni za chama cha Demokratik na Repulikan ninadhani kuwa Rais ajaye wa Marekani atatoka kwenye chama cha Demokratik. Ama atakuwa ni Benni Sanders anayetumia sauti yake yenye ushawishi kuvuta wapiga kura wa Demokratik au ni Hilary Klinton anayejivunia Rekodi yake ya kiutendaji wakati akiwa ndani ya Seneti au akiwa Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani.
Sema unawapenda Democrats so unatamani rais ajaye atoke Democrat,lakini ukweli ni kuwa Clinton anaweza kupatikana na makosa ya kihaini wakati wowote (FBI inakaribia kuhitimisha uchunguzi muda wowote na inasemekana Sababu ya hajawa Indicted mpaka sasa ni kwa kuwa Obama a Democrat ndiye rais) ,na Bernie Sanders hana nguvu kiviiile kupambana na wagombea wa Republican wanaopigiwa upatu kam Trump na Ted Cruz so ningekuwa wewe ningesubiri kwanza kwani uchaguzi uko hatua za awali kabisa naddhani karibuni wanaenda jimbo la pili New Hampshire ukiacha lile la IOWA .Hold your guns!
 
Donald Trump hana ajenda zaidi ya kutukana Waislam, waAfrika na kusifu Utajiri wake.
Jamaa sio mnafiki na anasema ukweli chukulia viongozi wetu wa kiafrika wamefanya nini zaidi ya kung'ang'ania madaraka na kujilimbikizia mali wakiacha nchi zetu zimejaa umaskini ujinga na maradhi, hujamsikia rais wetu jana kasema upinzani wasahau kuhusu kutawala -uchu wa madaraka!
 
Sema unawapenda Democrats so unatamani rais ajaye atoke Democrat,lakini ukweli ni kuwa Clinton anaweza kupatikana na makosa ya kihaini wakati wowote (FBI inakaribia kuhitimisha uchunguzi muda wowote na inasemekana Sababu ya hajawa Indicted mpaka sasa ni kwa kuwa Obama a Democrat ndiye rais) ,na Bernie Sanders hana nguvu kiviiile kupambana na wagombea wa Republican wanaopigiwa upatu kam Trump na Ted Cruz so ningekuwa wewe ningesubiri kwanza kwani uchaguzi uko hatua za awali kabisa naddhani karibuni wanaenda jimbo la pili New Hampshire ukiacha lile la IOWA .Hold your guns!
Sahau mambo ya Donald Trump, alipendwa kwa uchekeshaji wake na kurusha madongo. Nafasi yake ya kushinda ni ndogo. Ted Cruz au Marco Rubio hawana ubavu wa kushinda urais.
 
Ukiangalia mchuano unaoendelea kwenye kura za maoni za chama cha Demokratik na Repulikan ninadhani kuwa Rais ajaye wa Marekani atatoka kwenye chama cha Demokratik. Ama atakuwa ni Benni Sanders anayetumia sauti yake yenye ushawishi kuvuta wapiga kura wa Demokratik au ni Hilary Klinton anayejivunia Rekodi yake ya kiutendaji wakati akiwa ndani ya Seneti au akiwa Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani.

leo mada zako za chuki dhidi ya Rais Dr. Magufuli huna au zimeisha mkuu? wengi tumeshakuzoea kuwa kila ukija humu lazima tu utakuja na uzi wa kumshambulia Rais wetu na nimeshangaa sasa hivi umeamua kwenda nchini marekani ambapo naamini siasa za huko hutaziweza kutokana na kwamba ubongo wako ulishajiseti kitanzania tanzania tu!
 
Sema unawapenda Democrats so unatamani rais ajaye atoke Democrat,lakini ukweli ni kuwa Clinton anaweza kupatikana na makosa ya kihaini wakati wowote (FBI inakaribia kuhitimisha uchunguzi muda wowote na inasemekana Sababu ya hajawa Indicted mpaka sasa ni kwa kuwa Obama a Democrat ndiye rais) ,na Bernie Sanders hana nguvu kiviiile kupambana na wagombea wa Republican wanaopigiwa upatu kam Trump na Ted Cruz so ningekuwa wewe ningesubiri kwanza kwani uchaguzi uko hatua za awali kabisa naddhani karibuni wanaenda jimbo la pili New Hampshire ukiacha lile la IOWA .Hold your guns!
Yes,Comrade you have a point but it will be disastrous decision for Americans to vote for Trump.
 
Kwa dhati kabisa mimi binafsi namuunga mkono Mama yetu mpendwa Hillary Clinton.
 
Donald Trump hana ajenda zaidi ya kutukana Waislam, waAfrika na kusifu Utajiri wake.

Yule mzee pumbavu kabisa... nimetoka kumchukia mno baada ya kuwatukana waislamu n waafrka, nguruwe kabisa huyu mzee
 
Mnahitaji kufuatilia siasa za America kwa karibu sana,msikose kufuatilia campaign trails na primary elections zinazoendelea sasa hivi,kuna mambo mengi sana mtajifunza kuhusu siasa za America. Kwa ufupi siasa za America zimejaa surprises za hali ya juu sana.Ukianza na Ronald Reagan mwigizaji maarufu wa movie ambaye alimtoa madarakani Jimmy Carter wa Democrat ktk miaka ya 80,akafuatiwa Bush Senior ambaye alipigwa chini na Bill Clinton ktk miaka ya 90.Makamu wake wa rais All Gore alipigwa chini na Bush mtoto ambaye alikuwa Governor wa Texas. Barack Obama naye akampiga chini mke wa former President of USA Mrs Hillary Clinton, nimemchagua Hillary kwasababu mwaka 2008 ulikuwa ni mwaka wa Democrats kushinda baada ya Republicans chini ya Bush Senior kusababisha vita vilivyochukiwa na Wamerikani wengi vya Iraq pamoja na ule mtikisiko wa kichumi ulioikumba Marekani na dunia kwa ujumla.So mwaka surprise lazima itokee mwaka huu na huenda Marco Rubio wa Republican au Berny Sanders wa Democrat akawa surprise hiyo,mark my words.

Back
Top Bottom