Ni Bank Account

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
366
68
Ndoa au Mahusiano Yoyote ya Kimapenzi ni mfano wa Bank Account tulizonazo.
Unapopata mwenzi wako ni kama vile umefungua Bank Account na katika kuendelea na maisha au relationship kila siku unafanya transaction ambazo ni either Kuweka pesa (Deposits) au Kutoa pesa (Withdraw)

Pia ni muhimu sana kujua hali ya Account yako bank ipoje; kwani unaweza kwenda kuchukua pesa ukakuta hakuna kitu, kumbe huko nyuma uli-overwithdraw zaidi kuliko ulivyotakiwa.

Hakikisha kila Wakati Account Yako Ina Pesa ndipo uzichukue pesa zako.
Love Bank Account ni muhimu sana katika maisha ya kila siku ya mahusiano na kama vile mti au mmea wowote unahitaji kutunzwa ili uweze kustawi na Love bank Account pia inahitaji kuwa na Pesa muda wote ili iweze kudumu.Unapomkubali mtu kuwa mwenzi wako (Soulmate) maana yake umefunguwa Love Bank Account kwake.

Ni jukumu lako kuhakikisha kila siku Kuna Balance ya pesa za kutosha ili inapotokea unahitaji kufanya manunuzi yoyote basi kuna akiba ya kutosha.
Unapompa feelings (hisia) nzuri za kukuhitaji wewe zaidi maana yake unafanya deposits, unaweka pesa za kutosha.

Kuna mambo mengine katika mahusiano watu hudhani ni vitu vidogo sana lakini ni muhimu sana na vina maana kubwa, Unapo mwamini (trust), unapompa zawadi haijalisha ni nini na kiasi gani, unapompa muda, unapo mpa busu,
unampa maneno ya sifa na kutia moyo, unampomsikiliza, na kumjali hapo
unafanya Deposit na Account yako kwake inajaa.

Lakini unapokuwa humjali, unampa maneno mazito na magumu yanayoumiza (criticism), Ignore, hutunzi ahadi zako wala kumlinda na kumpa kile anahitaji hapo una withdraw kwa kiasi kikubwa na inawezekana unafanya over withdraw ya hiyo Account na siku mambo yakiwa mambo kuna kuwa hakuna balance, na zogo linaanza.

Please Hakikisha Love Bank Account ya Mkeo, Mumeo, Mchumba Wako, Mpenzi Wako Umeifanyia Deposits za Uhakika then Tutajua wewe Unajua Kupenda.
 
Mh! "love bank account"!! hii ni mpya sana kwangu.
saahanini kwa kua mjinga hapa.
 
Nilidhani Charger kumbe Mchakachuaji imetulia mkubwa hiii big up sana
 
kwenye love inatakiwa udeposit tu bila kutegemea kuwithdraw lakini ikitokea umewithdraw shukru mungu.
 
unadeposit mihela halafu wafanyakazi wa bank wanaichakachua acc yako na kuwithdraw fedha yenyewe,hapo lazima uchanganyikiwe
 
Thanx nimeipenda sana nitahakikisha accout yangu nacheki balance mara kwa mara
 
Back
Top Bottom