Ni balance kwenye akaunti ya laki 8 ambazo sijaweka

MMM Wana IT wenzangu hii imekaa vibaya sana, security hakuna maana any password inakubali, Itakuwa test tu wala sio active account..
 
Kuna mtu kafanikiwa jamani?maana mie nimenunua huo mudawa maongezi sioni feedback au ndio wanataka kukoba vihela vyetu vya mpesa na tigopesa
 
Mi pale VodaCom makao makuu ni mchizi wangu nimesoma na O lever enzi ye2 nimemwambia hapo vp akaniambia wala usijaribu Kamanda kwani ni wizi mtupu na akaniambia atanicall anijuze Watanganyika wanavyopeibia balance zao bila kujijua,NA AKINIPA FEEDBACK ntawajuza hakika kwani ziwezi ona mafisadi watupekenyue hivi hivi.
 
Kaka mkubwa iyo ishakua zogo coz we dont knw what happen nxt so if ya will get 2knw any infomation dont eztat 2 imform us coz we wanna knw de issue in dply ,fanya ivyo mfaza
 
Mi pale VodaCom makao makuu ni mchizi wangu nimesoma na O lever enzi ye2 nimemwambia hapo vp akaniambia wala usijaribu Kamanda kwani ni wizi mtupu na akaniambia atanicall anijuze Watanganyika wanavyopeibia balance zao bila kujijua,NA AKINIPA FEEDBACK ntawajuza hakika kwani ziwezi ona mafisadi watupekenyue hivi hivi.

Mkuu tunaomba utujuze fasta ili tusiendelee kuliwa
 
Mkuu tunaomba utujuze fasta ili tusiendelee kuliwa

WARNING: Tusijaribu tena huo mchezo,hiyo ni onyo aliyenipa best wangu niliyesoma naye "O level" kipindi chetu,nami napenda kuwafikishia WanaJF wenzangu.
 
Back
Top Bottom