Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

-TorrentTRAK (iPhone, iPod Touch & iPads) kwaajili ya kuDownload files kupitia torrents..
-iFile kwaajili ya kuAccess root directory ya simu
-Find iPhone kwaajili ya kuTrace realtime location ya simu yako au mwenzako (itakusaidia kujua simu ilipo kama ikiibiwa)
 
mwenzenu mi sitaki shida. app za kwenye pc ndo izo izo natumia mobile version zake, etc adobe reader, office, game za solitaire etc
 
Hivi hakuna program ambayo ukipiga simu inakwambia hupatikani?, Badala ya kuruhusu simu iite kidogo alafu ndio inakata.
 
kwa elimu linkedin, bbc news, opera next, game la speed night, nimbuzz, yahoo messanger, ebuddy, anti virus avast.. ahahah
Skype (thumb down ) etc
 
..naona watu wameanza kuulizia application nzuri za simu tena nadhani huu mjadala uendelee na kama Invisible hutajali weka sticky hii kitu itasaidia wengi.
 
Last edited by a moderator:
file locker....ku lock files zako..iko very simple

badoo...nzuri kucha na people near u

quick pic...inafungua gallery yako faster n smoothly
 
Blackmart
Evernote
Google gigles
Night camera
Google current
Goal. Com
Netqin antivirus
Next launcher
Abby text grabber
Skype
Montana book reader
Camscanner
Tapatalk
Ilauncher
Youversion bible




Sent using wireless by wire
 
Meeting minutes pro
Resume maker
Poweramp player
Power toggle

Sent using wireless by wire
 
Jina la App: Current

Bei: Bure

Imetolewa na: Google

Kazi yake: Kusoma majarida, websites na blog za habari

Inavyofanya kazi: Ina-download content mara moja halafu unasoma offline. Inachagua ni jarida, web au blog gani unataka kuisoma. Hivyo iko very customisable.

Faida yake: Haili internet sana kwa vile ina download kila tu unapoifungua halafu ikihsa-download haiendelei kula net.

Nyongeza: unaweza kuchagua kama unataka i-download picha au hutaki, inapanga magazeti/majarida/web/blog katika utaratibu wa kupendeza na mpangilio mzuri wa uhakika.
Mwisho kabisa ni App ya kuaminika kwa vile inatoka kwenye kampuni kubwa, hivyo huwa wana fix bugs, na kutoa update mara kwa mara. Pia kuna inafanya kazi kwenye iPad.
IMG_1228.PNG
 
Apps kwa Iphone:

SofaScore - kwa ajili ya matokeo ya mechi na michezo mbalimbali ya soka, kikapu n.k.
Photo Shaper - kwa ajili ya kuzipa sura mbalimbali picha ulizopiga, unaaweza kuunganisha picha zaidi ya 10 na kuzipa sura ya aina mbalimbali.
GPS Data - hii ni kama GPS device, inayotoa data za GPS, kama vile latitude na longitude, altitude, bearing etc.
Airport Utility - kwa ajili ya kumanage Wi-Fi networks na Airport base stations
F.E.D - Find Eat Drink - kwa ajili ya kulocate migahawa, bars, maduka ya vyakula, masoko ya vyakula n.k.
USA Slang - kwa ajili ya kukupa maana ya maneno mbalimbali yanayotumika kwenye mitaa mingi ya miji ya Marekani
tv24.co.uk - kwa ajili ya kupata chaneli mbalimbali za Uingereza, zinazorusha matangazo ya moja kwa moja ya matukio mbalimbali ya michezo, sinema, habari n.k.
101 Great Goals - kwa ajili ya kupata kuona magoli yaliyofungwa katika michezo mbalimbali ya soka
 
kuna double twist-ni ya ku play miziki na video na online radio na mambo kama podcasts

angry birds ni game nzur sana kwa kupoteza mda na ni interesting

nimbuzz inakusaidia kuwa online na ku chat bila kutumia Browser Ambayo it is complicated

djstudio 4 kwa wale wanaopenda mautundu ya studio ni kama mixer

vault ni ya ku lock vitu kama videos'',picha ,message,phone numbers,n.k

picsArt ya ku edit na kuchora picha kwa wale wapenzi wa editing

softonic moba ni app itakayo kuwezesha kupata apps nyingine

kuna. android assistant nadhan jina lake lenyewe linajielezea

real player nzuri sana kwa ku play miziki na video

naona wengine wame recommend blackmart alpha ni nzur. sabab unapata apps ambazo unazilipia kwenye store bure.

APPS ZOTE HIZO NI ZA ANDROID. UNAZIPATA KWENYE PLAYSTORE. KASORO. BLACKMART ALPHA AMBAYO UTAITAFUTA. NA BROWSER
 
ok,ni hivi mim ni mdau mzuri sana na nina weredi mkubwa wakucheza na smartphone hasa kwenye matumizi ya hapa na pale.hii itawasaidia wengi lets share,kwa android me am good user of android,i often chose android coz most of applications ni free ok lets see
1 tunewiki-hii 4 music mahususi,kwanz inakuwezesha incase kuna nyimbo inaplay somewea etha to ur radio or wateva umeiskia and huijuwi ni ya nani,na ukawa umeipenda unataka kujua ya nani then go to song id to ths applc click itakutafutia jina la nyimbo na artist wa nyimbo na hadi lyrics too bt u must be connected to internet.tena t helps kushare th song na watu wa fb,twitter nk,also appl t helps kama kuna nyimbo in ur phone ukiplay ukitaka na lyrics idisplay then turn internet on ikutafuti lyrics then itai-save 4next time hata usipo kuwa conected 2intanet,and t can translate lyrics into kiswahil to other language,t coolest appl u avnt ever met,
2.Go master power-it help to keps ur battery last longer ukiwa na applc hii u can stay wit charge kwa muda sana koz wat t does simu ikiwa imeka idle yenyewe auto itazima kila applic inayo run,pili battery ikifika 20% auto inajipunguza mwanga,inakata net ili kusave battery
3 world web dictionary ths is offline dict very coolest
4 englis-swahl dict ts offlne
5 kwa wana habar use
videkezo.tanzania newspape,tanazania newspaper video radio,jf.bbc,aljazera,sky news,sky sport,cnn na nying nying
6.e-books kwa wale wanaoilalamikia serikal yao haina vitabu nenda hapa mpaka vya mathetics e-book
7.power amp-hii it help kuplay musik kwa base and u can customise as well,
8.adobe
9.go sms-sasa hii it helps to customis ring tone msg ya watu wako.unawez kuweka theme,uka-set to pop out when msg imeingia hata kama unatumia otha appl na ukaijibu hapohapo na muonekano wa conversatin ni kama wa iphone4
10. nanyingi nying yani hapa nikiandika sitamalza eg unaweza ukaiwekea alarm security simu yako yani mtu mwingine akishka inapiga kelele mbaya kabisa,toking tom,bible book swahl na english version both agano jipy na kale zipo na both ni offline,kuna sniper hii ipo real sana wapenda games, dah jaman zipo nyini hzo nilizo zitaja nizile mama ambazo wengi hawajazitaja and perhaps description zao hazikuwa safi.naomb niwakilishe kwenye meza,
 
Wakuu wenye simu za android na Iphone.........

Moja ya sifa ya hizi simu zinazotmia platform hii ni Apps mbai mbali .

Inawezekana kuna mtu anatumia app nzuri fulani ambayo mwenzake hajui

Nilikuwa najaribu ku google best anroid/Iphone apps. Matokeo nyingi niizoona haziwezi kuwa na maufaa au matumzi kwa mazigra yetu ya bongo.

Haya wenye Adroid na Iphone tuelimisane some usable apps Tukinooda zile za facebook. twitter yahoo hotmai skype...

Naanza

Bible/Qoran .......( Hizi nadhani kwa waumini wa dini) watakuwa nazo au waatakiwa kuwa nazo. sina uhaa na Iphone. Kwa android zip free apps na za kulipia. Sijui majumbo ya ibada yatachukuliaje challenge ya mtu badala ya kwenda na kitabu(Hard copy) kitakatfu anawenda na simu yeye kitabu itaatifu( Electonic copy) . So simu inakuwa kama kitabu . Any way hi ni mazungumzo baada ya habari......... Challenge nyingine wa mm mrstu nayona hapa ni Ukoef u wa apps katika lugha ya kiswahili. Kama ipo app ya biblia ya kiswahii nifahamishwe. Kama hakuna eveloper mnasamaje


Tuendeeee kujulishana app nyingine

Biblia ya kiswahili android ipo kwenye g play.
 
Back
Top Bottom