Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

haya kwa wale watuniaji wa Documents To Go in android download hii key yake kisha unzip then install kazi kushney fungua Documents To Go utapata full functions, kumbuka kuto unistall hiyo key maana tatizo litaludi kama mwanzo.

 

Attachments

  • Documents To Go Full Version Key (2.003.605).zip
    56.5 KB · Views: 359
ipo application inaitwa PDA NET na MY-WIFI for i-PHONE hizi zinakuwezesha kutengeneza wifi hotspot and u can share that wifi to your comp.and with ur friends.kwa maelezo mengine inakuwezesha kutumia internet ya simu(i phone) ktk compyuta yako na kuwagia wengine pia.
 
haya kwa wale watuniaji wa Documents To Go in android download hii key yake kisha unzip then install kazi kushney fungua Documents To Go utapata full functions, kumbuka kuto unistall hiyo key maana tatizo litaludi kama mwanzo.


kaka thnx a lot umeniokoa cjui uliipata wap hii ki2 asee, t worked like a charm. Thnx again
 
Shazam... hii ina recognize any songs ukiifungua tu kama wimbo unachezwa basi inautafuta
google latitude...hiii unaweza ukawaweka marafiki zako popote walipo duniani na unaweza muona alipo so huwezi danganywa kama unampenzi wa mbali hawezi kukudanganya yupo chuo kumbe yupo sehem nyingine inashow location
ESPN SCORE CENTER hapa unapata matokeo ya match yoyote notification kwa favority team eg manchester,arselal nk
JANGO RADIO,,,hii app unasikiliza millions of songs artist all around the world for free...
ATM HUNTER i dont knw kwa bongo inaweza ila ulaya inakutambulisha wapi ATM ilipo na itakufikisha
hizomie ninatumia karibia kila siku ila zipo nyingi sana
 
Hii ni kwa android? Inapatikana free?

ipo kwa iPhone IOS, Android, BlackBerry, Java na WebOS na zote ni bure..Ukishadownload hiyo Bible app, kupata version za Kiswahili badilisha lugha ndani ya hiyo app na utapata bibilia mbili za kiswahili na zote ni agano jipya na la kale,,
 
EN-SW dictionary. inatranslate English. to Swahili. offline dictionary. hii pia unaweza pata lugha tofauti kutoa Swahili.
kingsoft office - hii unaweza read and edit words doc, power point, spread sheet na PDF.
SQL - kwa wale wanao penda jifunza SQL
Linux command tutor - kwa wale wanaopenda jifunza command
windows servers - hii inatutorials. za win servers
 
CINE TRAILER....HIYO inakuwezesha kuwatch and also download latest movie trailers in the US BOX OFFICE..ya ukwee
 
Back
Top Bottom