Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua


Wakuu ongezeni na hizi
1. DroidWall( inasaidia ka grant internet access to specific apps)
2. Friend caster pro(Hii ni kwa facebook fans ina real time notfikation)
3. 1 mobile market (it is much simple kuzid play store )
4. cover art downloader ( kwaajili ya kuwekea nyimbo picha)
5. Mp3 cutter (hii ina cutt nyimbo)
6. Mp3 Tag(hii ina unaeza edit audio details) 7. Android Assistant (kwa hii unaeza kuzuia apps flan zisiwake unapo washa 4n)
8. Easy installer & Easy unsteller (hiz ni the best apps za kuinstall na kuunstall apps it support multiple installation)
9.Ttpod ( the bes music app supports earphones control and karaoke lyrics style) 10. finger print scanner ( weka kidole chako ili kutoa lock) APPS ZOTE HIZO NI ZA ANDROID. AN MAKE SHURE UNAPATA PRO VERSIONS
 
Ok kwa wapenzi wa kuimba kuna glee karaoke for iphone, mirror for android, na personality quizez for both very enjoyable na angry bird na diamond dash for games
 
wakuu mngedodondosha na link ili tujaribu na sisi kuliko kuonyesha jina pekee
 
Ukanda wa pwani tuna kunguru wa India ndio wanasaidia kuzoa taka.
 
Mie sielewi chochote hapa...kwa hili nahitaji mwalimu na sehemu ya kusoma tuition...kweli kabsa haki ya mungu...mie najua simu ikiwa na pesa napiga na kutuma sms labda sikuhizi kuna camera music na tochi...haya mengine sijui games mara nini wala hata sijayajua...au ndio nazeeka vibaya??..

Teknolojia nimewaachia watoto basi nakuwa mgenin kabsaaa...

Kwani hawa samsung galaxy 2 ndio nani sasa? Android au i-phone?...na wale smart phones ndio nani tena?
 
mie sielewi chochote hapa...kwa hili nahitaji mwalimu na sehemu ya kusoma tuition...kweli kabsa haki ya mungu...mie najua simu ikiwa na pesa napiga na kutuma sms labda sikuhizi kuna camera music na tochi...haya mengine sijui games mara nini wala hata sijayajua...au ndio nazeeka vibaya??..

Teknolojia nimewaachia watoto basi nakuwa mgenin kabsaaa...

Kwani hawa samsung galaxy 2 ndio nani sasa? Android au i-phone?...na wale smart phones ndio nani tena?

wajukuu zako
 
Shazam; nzuri sana ukisikia mwimbo ukiifungua yenyewe itausikiliza kwa sekunde chache then mwimbo unavyoimba inakuletea mashahiri tena sehemu ambayo inaimbwa na muimbaji maandishi yanakuwa highlighted so you can sing along.
 
Team view: kwa android una connect na computer as if upo kwenye pc kabisa na unafanya kila kitu.
 
Kwa anaefahamu media player nzuri yenye kucheza format mbalimbali za audio na video ktk android anijuze..
 
ZombieBooth unapiga pic or una load pic inaiprocess then inabadilishwa into a LIVING ZOMBIE,yeah sio just a pic,na inarespond unapogusa au kutikisa sim 5**, 1+mil downloads inastaili kabsa. Warning ucdownload ucku maana hautalala. Ni ya android hii
 
ZombieBoot unapiga pic or una load pic inaiprocess then inabadilishwa into a LIVING ZOMBIE,yeah sio just a pic,na inarespond unapogusa au kutikisa sim 5**, 1+mil downloads inastaili kabsa. Warning ucdownload ucku maana hautalala. Ni ya android hii

aisee nimecheck screenshot zake tu nimeishia
 
aisee nimecheck screenshot zake tu nimeishia

yeah nzuri sana hiyo, it nvr fails 2 amaze ppo around u not 2 mention scare the **** outta them! Also kuna hizi game 2,LABYRINTH LITE unaigeuza na kubinua sim mpaka ka ball bearing kafike kwene final hole, also kuna STICK STUNT BIKER LITE, ipo kama inavojieleza kwenye title! Kama unapenda games dat mess around with the accelometer kama mimi these 2 games are perfect 4 dat! Kama kuna m2 anajua games lyk these i،m all ears
 
ZombieBooth unapiga pic or una load pic inaiprocess then inabadilishwa into a LIVING ZOMBIE,yeah sio just a pic,na inarespond unapogusa au kutikisa sim 5**, 1+mil downloads inastaili kabsa. Warning ucdownload ucku maana hautalala. Ni ya android hii

aaah hiii noma
 
Back
Top Bottom