Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

Epicurious:
Nzuri kwa mapishi

Alarm clock:
Really cool customizable alarm

CamiApp:
Change hand taken notes into e-readable paper
Cool apps lakini Alarm si hata bila app ipo kwenye simu?

@ Gaijin and all others mem bers
Zaidi ya hizo ulizotaja developer wa Kitanzania anakuuliza ni app gani ya kiswahili inaweza kuwa usable most kwa watanzania au ungependa kuitumia ?
 
Kwa iphone 1.Mxtube kwa ajili ya kudownload na kucheza video za youtube offline. 2.Scrabble ni game kwa ajili ya kujinoa kwenye kizungu 3.Iphone Tips itakusaidia sana kujua mambo husiyo yajua kuhusu iphone. 4.Camera+ kwa kupiga picha zenye quality nzuri. 5.Downloads hii itakusaidia kudownload more than one file na kuyatransfer kwenye computer kwa urahisi. 6.Formula max hii ina formula nyingi sana kwa masomo ya physics, chemistry na mathematics. 7.Ebuddy pro kwa wale wapenzi wa kuchati, kutuma picha n.k
 
Aksanten sana wadau

CESTUS japo google ipo do u mind wa fida ya wasomaji ukitoa clue kidogo each one of those apps zinafanya nini ?


Mkuu hii ni game ya kucheza kung fu au..... tupe clue kidogo ?


Una maana kwenye android au kwenye IOS? unaweza kunipa jinaa hiyo app au link niicheki

nadhani kwa simu zote nshatumia kwenye nokia s60, blk bry, iphone na android, google olove tree bible
 
Cool apps lakini Alarm si hata bila app ipo kwenye simu?

@ Gaijin and all others mem bers
Zaidi ya hizo ulizotaja developer wa Kitanzania anakuuliza ni app gani ya kiswahili inaweza kuwa usable most kwa watanzania au ungependa kuitumia ?

Actually hiyo Alarm naipenda kwa sababu
1. Badala ya kukupigia kelele, it can send you an alert in a form of msg with no sound and subtle vibration [I sleep really lightly]
2. Screen ya simu haijizimi na inakuwa kama digital clock with large neon signs saa zote [nzuri ukiamka usiku kuona bila ku unlock simu na kuangalia vi number vidogo ili kujua wakati]
3. Unaweza ku customize mziki wa kukuamsha, ku synchronize na iPod music au music file jengine na kadhalika

Mtazamaji, what do you think of ATM-finder?

Tutengeneze App ambayo itakuonyesha the nearest ATM kutoka location uliyopo....na ikiwa na live updates kuhusu condition ya huduma kama "Out of Order," "Out of Cash," na "long Queue," will be super cool (@-@)
 
for android if u want to speed up ur device downlooad setcpu so u cn overclock ur cpu...u must root ur device first
 
Ninazopendelea:
1. Whatsapp (Chating app)
2. Office jerk (Kuna jamaa yuko bize, inabidi umsumbue aache ubize)
3. Toss it (Game ya kurusha vitu kwenye dustbin)
4. Instagram (Application ya kuweka effects kwenye picha -- nzuri sana 5 stars hii)
5. MX Mayhem (Game ya kuendesha pikipiki)
6. Kindle app (App ya kusoma vitabu)
7. my Sketch (inaconvert picha kuwa sketch ya kuchora)
8. VNC Mocha (inakuwezesha kuconnect pc yako na simu yako)
9. Pedometer (hii inahesabu amount ya calories unazoburn ukiwa unatembea, naitumiaga kwenye matembezi jioni na weekend)
10. Rotten tomatoes (Hii inakupa updates za information zote za movie mpya na zinazotoka karibuni)
11. Minimal Reader (Hii ni rss reader, uki subscribe mfano kwenye web kama hii jf au michuzi, inakuwa inakuletea summary ya post mbalimbali zilizopo, unaweza kuset iwe ina refresh kila baada ya muda kadhaa say 30 minutes )
 
Mtazamaji, what do you think of ATM-finder?

Tutengeneze App ambayo itakuonyesha the nearest ATM kutoka location uliyopo....na ikiwa na live updates kuhusu condition ya huduma kama "Out of Order," "Out of Cash," na "long Queue," will be super cool (@-@)

Hiii nzuri sana but naona tatizo moja katika gathering of information ya hizo ATM . Do u think hawa wenye mabenki yao ukiwaomba wakupe detail za location zao za ATM zote watakubali ..... ?

And What do u think kuhusu apps za fani mbali mbali mfano Kwa wanasheria na watu wa kawaida wenye interest na sheria tuwe na apps kama
  • Criminal Law (App ya makosa ya Jinai)
  • App ya katiba
  • etc
Yaani kuwa na app kama hii ya droid law lakini Ya KItanzania. Je Tunaweza kuzidaka fwedha ha hawa mawakii wetu kwa app kama hii ???

Tunaweza pia kuwa na app ya mambo ya Ushuru na kodi

Au kama moja aliyoweka kiranga (World Newspapers) developer wa Tanzania au East africa wakitengeza app ya ya Eastafrica News paper s au Tanzania news Papers. Mnaonaje watalaam???????

.........
satellite directot + Sat35 kwa kumia apps hizi mbili huhitaji fundi wa dish instllation, utapata elevation na adhimus, frequency na symbol rate za channel zote zinazopatikana ktk satellite husika

Japo haya mambo siyajui sana hiii imenivutia


BTN

Wanopenda mambo ya computer network kuna mtu ameshatumia hizi apps za CISCO
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Tutengeneza app ambayo itakuwa inatumia bluetooth kusearch simu zote zilizo kwenye range ya bluetooth na kukupa results ya Phone Name, Phone Type pamoja na PHONE NUMBER.
 
Tutengeneza app ambayo itakuwa inatumia bluetooth kusearch simu zote zilizo kwenye range ya bluetooth na kukupa results ya Phone Name, Phone Type pamoja na PHONE NUMBER.

Mhh nataka kujaribu kutengenza ka app. Bianfsi Si mzuri sana wa programmming so hii inaweza kuwa complex kidogo kwa level . so natafuta mtaaam wa ksuhrikiana naye ili tuweze kutengenza ka app kama wanasheria. Just kataonyesha sheria za makosa ya jinai au katiba ya Tanzania.. So ni app ya kudisplay tu text na kunavigate..........
 
I TRIAGE ni ya ukweli inaonyesha sehem za mwili,magonjwa,dalili,na tiba ,just touch part ya mwili tu
 
Kuna mdau keshaitaja Viber, ila nilitaka kuongezea kwamba hii unaweza kutumia kwenye Android na iOS. Kama kuna mtu anaitumia hii apps na wewe ukawa na namba yake kwenye simu yako basi utaiona na utaweza kumpigia simu na kumtumia msg bure (inatumia Wi Fi au bando yako, kwa hiyo si bure kihivyoo).
Kuna nyingine hapa ni Free Wi Fi, hii inakusaidia kujua wapi utapata Wi Fi za bure, kwa maana maeneo gani wanatoa bure. Kama ni kwenye migahawa, maduka makubwa, vyuoni na kadhalika.
Pia kuna MobileVOIP kwa wale ambao wanatumia Voipgain, PowerVoip na nyinginezo kupiga simu na kutuma msg
 
kuna for Android
ACV - hii ni yakusomea comic books.
Titanium Backup - kwa wanao penda kuinstall custom roms ina save apps zote kwenye memory card uje uzireinstall tena.
Gameboid - emulator ya Game boy advance
Root explorer -ni file manager a must for any root user ina kuwezesha kucopy and paste files kwenye system.
Go Books -kusomea epub books.
Terminal emulator -inakuwezesha kutumia the linux command shell
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom