Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,877
- 2,758
Tumeongozwa na Ben kwa miaka 10! Kwa kipindi chote sijawahi sikia wala kuwaona watoto wa ben. Hata kama nimesikia ni kwa bahati mbaya. Tumesikia wa nyerere, mwinyi, jakaya. Lakini ben! Au vipi wenzangu?