Nhif kazi

jembe12

Member
Oct 18, 2012
58
7
Habari zenu wakuu kuna mtu anataarifa juu nafasi tano za uhasibu nhif naskia wametoa hv karibuni tu
 
Haya tena mliosomea mahesabu, changamkieni kazi hiyo acheni kulala, mi mwenzenu nilikimbia umande!
 
Haya tena mliosomea mahesabu, changamkieni kazi hiyo acheni kulala, mi mwenzenu nilikimbia umande!
 
Habari zenu wakuu kuna mtu anataarifa juu nafasi tano za uhasibu nhif naskia wametoa hv karibuni tu

toa qualification, address na deadline.
Maana hueleweki kama unatoa taarifa au unauliza swali.
 
Mkuu mm nmeuliza hzo post nmeskia zpo kwenye magazine ss nmeweka hpa ili wale wenzetu wa media watusaidie kutupa hzo information
 
zle nafas 4 tuliitwa Wa 1000 kumbe wanawa2 wao ndo itakuwa izi waache mambo ya kise yakisengelema
 
Back
Top Bottom