Black fire
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 755
- 1,309
tatizo la watanzania hufikiri ajira hushuka kama MANA toka angani somesheni watoto kwenye shule za maana (epukeni siasa za Elimu ya BURE), mfundishe mwanao kusoma tu hakutoshi kumpatia maisha mazuri bali Bidii, Heshima na UAMINIFU. Vinginevyo mtabaki kulia lia tu hapa
Inaonekana hii ishu imekugusa sana. Ukweli ni kuwa mtoa mada yuko sahihi. N.H.IF, BOT na mashirika ya hifadhi ya jamii wamelundkana watoto wa vigogo na ajira za kupeana bila kuzngatia vigezo. Huo ndo ukweli. Kupata kazi hata intern katika hayo mashirika ni ngumu km humjui mtu. Ukweli lazma usemwe.Wivu kitu kibaya sana Watanzania wenzangu. Dunia hii kijana usipochakarika mtabaki kutoa povu. Huyo kijana wa "Maskini" amefanya jitihada gani katika hiyo kazi? Au mnataka "Affirmative action"? Hakuna nguvu iliyopotea bure kwa mwenye bidii