NHC:Kweli sasa wamekuwa COMMERCIALIZED!

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
NHC inatangaza uuzaji wa nyumba zake mpya[sina idadi]zilizoko Arusha mtaa wa Wachagga. Ukubwa ni sqm165.Master bedroom moja,vyumba vitatu vya kulala,dinning,spacious sitting room,na ina balcony nne. Ulipaji: Bei ni Milioni 175 na laki.....bila VAT.Pamoja na VAT inafika Milioni 200. Itakuwa kwa mtindo wa tenda,ambapo watatoa A/C no na humo unadeposit 10% ya bei. Kisha unatuma slip na maombi yako. Zitafunguliwa siku moja application zote. Atakayeshindwa atarudishiwa fedha zake ama akitaka ataziacha kusubiri programme nyingine kama hiyo.
 
Kwa gharama hizi naamini kabisa watanzania wengi tutaweza kumiliki nyumba
 
Back
Top Bottom