NHC Kujenga nyumba za bei nafuu kibada-Kigamboni

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,632
68,563
Akichezesha taya na mtangazaji,manager wa nhc alisema kuanzia mwezi wa nane wataanza ujenzi wa nyumba 200 kibada kwa ajili ya kina yakhee(waliochoka),yenye vyumba viwili na vi3 price range 25-40m

Nawasilisha
 
Vip kuhusu ukubwa wa kiwanja? Huko kibada ni mjini? Maana, vyumba viwili kwa milioni 25 - 40. Halafu wanasema ni kwa ajili ya watu wa hali ya chini
 
Vip kuhusu ukubwa wa kiwanja? Huko kibada ni mjini? Maana, vyumba viwili kwa milioni 25 - 40. Halafu wanasema ni kwa ajili ya watu wa hali ya chini

Hile sample nadhani ni sqr m 600,kibada pamechangamka sana papo fresh nina kiwanja pale karibia na mpoki muarabu wa libya
 
Vip kuhusu ukubwa wa kiwanja? Huko kibada ni mjini? Maana, vyumba viwili kwa milioni 25 - 40. Halafu wanasema ni kwa ajili ya watu wa hali ya chini
Kigamboni ni mjini. Miji inakua, usihofie umbali . Lasingi ni kufanya personal follow up ujiridhishe in and out.
 
Lakini wazo zuri, sema ziwe za kiwango angalau sio kama zile za kule KInyerezi sijui alijenga nani zimekaa kama kota za Polisi
 
Hata hizo za bei nafuu watakaozipata ni ndugu zao na ndugu za wakubwa kwa hiyo mi naona bora wasizijenge tu ela hiyo itumike kuwalipa madaktari ambao wanatibu watanzania wote bila kujali mtanzania tajiri au mtanzania masikini
 
Lakini wazo zuri, sema ziwe za kiwango angalau sio kama zile za kule KInyerezi sijui alijenga nani zimekaa kama kota za Polisi
Hizo alijenga NSSF, polisi siku hizi wana nyumba nzuri ila zile Kinyenyerezi nadhani ni kwa ajili ya watu wafupi tu
 
Back
Top Bottom