Ngwilizi kwanini barabara ya kitivo -tewe ni chuma ulete?

Shembago

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
332
50
Jimbo la Mlalo wilayani Lushoto walimkabidhi Brigedia Mstaafu Hassan ngwilizi kuwawakilisha wananchi wa Mlalo,lakini maendeleo yake yamekuwa finyu sana haswa katika tarafa ya umba ambapo vipo vijiji vya Kitivo an Tewe,Ni miaka mingi sana takribani 26 barabara ya kutoka Kitivo -Tewe imekuwepo huku ikitengewa mafungu katika vipindi fulani fulani,mwaka jana tu kuna fungu lilitengwa kwa ajili ya kurekebisha sehemu korofi hasw kona za ajabu ajabu ambazo nadhani katika dunia hii zipo katika njia hii tu.

Lakini kutokana na kwamba Mhandisi wa halmashauri ya Lushoto either ana 10% yake au ni uzembe wa kutotembelea site na kukaa ofisini imefanya ubora wa barabara hii kutokuwa ya uhakika kabisa. Nijuavyo mimi katika kijiji hicho cha tewe kuna wahandisi Ujenzi wa tatu na mmoja wapo ndiye anayesimamia barabara kitaifa,hawa wanatakiwa wamsaidie huyu Mzee ngwilizi ambaye nadhaani amechoka na 2015 ni mwisho wakemaana ni gamba lingine hili!

Inauma sana yaani naona 2015 mbali kweli jamani!! Mungu nisaidie niwe na uvumilivu!!!
 
Back
Top Bottom