Nguzo zinauzwa

wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,931
3,299
Nguzo za fence, paddock, n.k ambazo ni treated zinauzwa, mnunuzi unatoa specification unazotaka unaletewa, pia mirunda ya kujengea magorofa inapatikana.
 
Unazo nguzo za inch 7? Nahitaji zenye futi nane kwa urefu. Naomba nipe bei.
 
Nguzo za fence, paddock, n.k ambazo ni treated zinauzwa, mnunuzi unatoa specification unazotaka unaletewa, pia mirunda ya kujengea magorofa inapatikana.
Vipi bado unashughulika na uuzaji wa nguzo? Kama bado naomba unijulishe bei ya nguzo za miti/mirunda zenye ukubwa wa 8 inches (wengine uziita mistimu) ambayo iko treated pia upatikanaji wake kwa mhitaji aliye Dar.
 
Back
Top Bottom