Nguvu za kufanya tendo la ndoa zimenipungua.

ipogolo

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
6,275
5,961
Wana wa Jf naumbuka mwenzenu, nina mke na wana 3.
Umri wangu miaka 50. Ni msaidizi wa Meneja kampuni fulani.
Nimekumbwa na tatizo uwezo wangu wa kumpa wife mchapo usiku umepungua.
Nilikuwa naweza kumfikisha my wife mara 3 kwa mchapo wa usiku mzima. Lakini siku hizi nafunga goli moja tu usiku mzima.
Hamu(ashki) ninayo tatizo kasi na nguvu sina. Nisaidieni Bujibuji, Gatecrasher,Kingast na wote.
 
Last edited by a moderator:
Unafanya kazi sana,una mwili mkubwa (overweight),una kunywa pombe sana,una matatizo ya kuudhi kwenye maisha yako!pamoja na sababu nyingine huchangia hiyo hali.
 
Lazima ukubali umri unapokwenda na nguvu mwilini zinapungua, kama zamani niliweza kuunga bao mbili bila kushuka juu ya kifua, leo kuunga siwezi, inabidi nipumzike kwa muda kisha mechi iendelee, wakati mwingine ni mabadiliko ya mwili, pamoja na umri.
 
Upungufu wa uwezo wa nguvu husababishwa na mengi mfano stress, ukosefu wa lishe bora, pombe, drugs, sigara, magonjwa mengine kama kisukari, vidonda vya tumbo nk. Unaweza kuimarisha afya kwa kuhakikisha hayo yaliyotajwa umeyakwepa na kula vyakula vya nafaka na kuepuka vyakula vilivyokobolewa na vyakula vya viwandani. Pia unaweza kupata afya nzuri na kusahau kuhusu kukosa nguvu kwa kupata lishe bora iliyoandaliwa kiasilia na yenye mafanikio makubwa na yenye kutolewa shuhuda nyingi kwa waliokwishatumia. Hii aina ya lishe imethibitika kutumika duniani kote na hapa Tanzania imethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa. Fuatilia kwa umakini maelezo yake hapo chini.


MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo


REVIVE

Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

KAZI YA REVIVE

  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa


CA + FE + ZI PLUS

  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.


Kwa swali lolote au ushauri waweza kuuliza kwa kunipigia 0776491294/0713889162 au kuniandikia kupitia email ishealthy@hotmail.com

MAGILIM ni 62500/-, REVIVE ni 60500/-na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-
 
Punguza vyakula vya mafuta na fanya mazoezi(husaidia kuboresha mzunguko wa damu)
 
Mkuu.@ipogolo Kapime kwanza hii testosteronehormone, Kapime Ugonjwa wa kisukari ,kapime Mapigo ya Moyo wako High blood Pressure,acha Ulevi kupita kiasi. Kisha uwe unatumia Dawa unga wa Tangawizi kavu kijiko kimoja uchanganye an Asali Safi ya nyuki kula kutwa mara 2 Asubuhi unapoamka na usiku kabla ya kula kitu kwa muda wa siku 7. Pia waweza tembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html

Mambo yanayochangia upungufu wa nguvu za kiume.


Msongo wa mawazo:
Ni dhahiri kuwa akili na tendo la ngono vinategemeana sana. Inajitokeza mara nyingi sana kwa watu wenye matatizo katika biashara, kazini na sehemu nyingine hujikuta hawako katika hali ya kuwa na hamu ya tendo la ndoa mpaka pale watakapotulia. Hii inaweza kuwapata watu wa rika zote na tatizo hili linaweza kuisha haraka kutegemeana na shughuli zao zinavyorudi katika hali ya kawaida

Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu

. Mzunguko wa damu mwilini una maana sana kwani kama damu haizunguki vizuri itachangia uume kutosimama vizuri kwa sababu usimamaji hutegemea kiasi na kasi ya damu inayoingia kwenye mishipa ya sehemu hiyo. Dawa zinazotumika kutibu shinikizo la damu huchangia pia kupungua kwa nguvu za kiume.

Unywaji pombe kupita kiasi:

Pombe inaweza kuathiri mishipa ya damu na mishipa ya fahamu kwa wakati mmoja. Wakati mwingine mtu akilewa sana huathiri ubongo na kukata mawasiliano kisaikologia na hivyo kushindwa kuwa katika hali ya kuwa na hamu ya ngono na hivyo kutosimamisha.

Unene.

Unene huwa unaambatana na mafuta mengi mwilini. Mafuta hayo wakati mwengine huzidi kwenye kuta za ndani za mishipa ya damu na hivyo kupunguza ukubwa wa mrija kiasi kwamba damu inipita kidogo na kwa shida. Hii huchangia kupungua kwa nguvu za kiume kwa sababu kiasi cha damu kinachotakiwa kisimamisha uume kitakuwa kidogo sana. Wakati mwingi uume unaweza kusimama kidogo na kulala kabla shughuli haijakamilika.

Kutokufanya mazoezi:

Tusipofanya mazoiezi pia mzonguko wa damu kutokuwa mzuri na hivyo kutoparuhusu damu ya kutosha kusimamisha uume. Kwa watu wanaotembelea magari na shughuli za kukuaa maofisini mda mrefu na hasa kama hawafanyi mazoezi asubuhi au jioni wako kwenye hatari zaidi kuliko watu wanotembea kwa miguu mwendo mrefu na kufanya kazi ngumu za kuuchosha mwili.

Matatizo ya kisukari:

Kisukari ni ugonjwa unaoathiri mishipa ya fahamu na kufanya mishipa ya damu kutofanya kazi yake viuri ili kuruhusu damu kujaa kwenye uume. Hii himfanya mgonjwa wa kisukari kushindwa kusimamisha hata kama ana hamu ya kufaya tendo hilo.

Umri:

Inaelezwa kuwa kadri umri unavyopanda ndio uwezo wa nguvu za kiume utaendelea kupungua. Baadhi ya watu huanza kuona tatizo hili wanapofikia umri wa miaka 40 na kuendelea na hasa kama maisha yao hayakuwa na mazoezi ya mwili. Sababu nyingine ni kama utumiaji madawa ya kulevya, kuumia katika uti wa

mgogongo, uvutaji sigara nk. Sababu nyingi zinachangia kupungua kwa nguvu za kiume zinaepukika kwa hiyo tunashauriwa kuwasiliana na wataalamu ili kujifunza jinsi ya kujikinga au kutibu matatizo hayo.


Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169


VILIRITY GOLD PILLS.jpg
 
tumia aloe NA ARGI + utapata maajabu maana inazibua mirija yote iliyoziba

inaleta mzunguko mzuri wa damu mwilini mpaka kwenye ubongo.

huamsha hisia za mwili.

usagaji mzuri wa chakula NA kuondoa uzito.

husafisha NA kuondoa uchafu wote mwilini.
KUIMARISHA MISULI NA kuondoa uzee
kwa maelezo zaidi nitafute 0713507487
0767507487.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1368475722664.jpg
    uploadfromtaptalk1368475722664.jpg
    30.4 KB · Views: 113
gharama zangu ni elfu 30tu toa nusu ukipona unamalizia usipopona nakurudishia hela yako natumia ndiz tikit karot na tunda moja la ziada unachanganya kitaalamu na zoez maalumu mimi pia nilikua muganga na weng wamepona shuuda zipo whats app 0712505049
 
Mkuu umetumia dawa gani?Mpaka heshima yako imerejea nyumbani?
Nimepunguza kinywaji sana. Nafanya mazoezi, napumzika muda wa kutosha. Nimepunguza stress.
Halafu kumbe ulcers nazo zinasababisha nguvu kupungua.
Nawashukuru kwa ushauri wenu.
 
Back
Top Bottom