nguvu za kiume

Discussion in 'JF Doctor' started by omereyo, Jul 10, 2013.

 1. omereyo

  omereyo JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2013
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Mwenzenu mie nina tafuta tiba ya upungufu wa nguvu za kiume.napenda sana niwe mume kamili ila nguvu zimenipungua nikitaka kuingiza tu inanywea.sijui nimelogwa?
   
 2. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2013
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,140
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  nenda jukwaa la doctor kuna majibu mazuri apa utakutana na watu wenye stress watakujibu vibaya na kucheka
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2013
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 26,491
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 83
  Umeoa? Labda ukioa itakubali, inawezakuwa inaogopa ngwengwe
   
 4. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2013
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,905
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  wataalamu wa mambo hayo wanajitangaza sana kwenye magazeti ya udaku. We fatilia uko
   
 5. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2013
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 3,331
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 48
  Pata ushauri nasaha toka kwa daktari bingwa wa mambo ya kijamii MziziMkavu atakukusaidia tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2013
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 37,075
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 83
  Mkuu omereyo hujatueleza kuwa

  una Umri wa Miaka Mingapi? Matatizo yako ya Upungufu wa nguvu za kiume yamekutokea kwa muda gani? ulisha wahi

  kupiga Punyeto?Na kama ulisha wahi kupiga Punyeto Je Bado unaendelea kupiga Punyeto? Umesha pima ugonjwa wa

  Pressure? Umekwenda Hospitali kupima ugonjwa wa Kisukari? kwenye familia yenu

  kuna mtu yoyote mwenye Ugonjwa wa Kisukari? Ninaomba hayo Majibu yangu kwanza.  UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UNASABABISHWA NA HAYA HAPA CHINI:


  Upungufu wa nguvu za kiume husababishwa na magonjwa ya Moyo, Kisukari, Mafuta Mengi

  Mwilini (high cholesterol), Uvutaji S igara, Matumizi ya Madawa ya Kulevya, Matatizo katika

  uhusiano, Mawasiliano Duni na Mwenza Wako, Matatizo ya Kisaikolojia, Msongo wa Mawazo,

  Wasiwasi (anxiety),Unywaji Pombe,Upungufu wa Homoni aina ya Testerone, Kuongezeka Uzito au

  Uzito Uliopitiliza, Tabia ya kujichua kwa muda mrefu Punyeto (Masturbation) nk.


  Kawaida baada ya tendo la ndoa, uume wa mwanamume yoyote hulegea na kusinyaa kwa muda

  kabla ya kuweza kusimika/kupata mdiso tena, mazingira, saikolojia na hali ya mwenza wako ndio

  huchangia kuweza kusimika/kudisa tena kwa haraka au kuchelewa kudisa tena.

  UKITAKA DAWA ZA KUTIBU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEMBELEA HAPA.
  http://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
   
 7. Swiper

  Swiper JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2013
  Joined: Apr 5, 2013
  Messages: 448
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Umejuaje, imeanza lini, je unasehemu zaidi ya moja? je zote sawa? matukio saa? nk kuna tofauti gani kabla na leo................ kuna mengi unapaswa yasema, usije tamani story za kijiweni ingahari wewe jabari!!! background please!!!
   
 8. Nyanidume

  Nyanidume JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2013
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 1,819
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 38
  MziziMkavu, hiyo dawa unauza dola 300, ni sawa na tsh ngapi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. b

  butron JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2013
  Joined: Jun 3, 2013
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Nipigie 0754 856277/0714 381704 nitakusaidia.
   
 10. omereyo

  omereyo JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2013
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Nina miaka 29,sina magonjwa hayo ila nimeshawahi kuwa na depression.
   
 11. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2013
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 13,074
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 48
  Kweli hivi n kwanini magazetinya udaku tu
   
 12. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2013
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 1,452
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 38
  Pole sana jaribu dawa hii.
  Punguza kula vitu vyenye mafuta na sukari halafu tafuta pweza baada ya kumsafisha mchemshe kunywa supu yake na kula nyama yake jaribu kwa wiki 2 halafu tuarifu jamvini
   
 13. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2013
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 23,170
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 63
  kwa kuwa dawa zao si za kweli...
   
 14. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2013
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,415
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Binti huishiwi misamiati?
  Ngwengwe ndo nini hicho?
   
 15. Little John

  Little John JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2013
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Good umri bado unadai kabisa, sasa hakikisha unapata asali ya ukweli(halisi) haswa ya nyuki wadogo (unaweza kuipata pale ofisi za maliasili idara ya misitu) ponda vitunguu swaumu tembe nne na mdalasini wa unga kiasi kidogo changanya na vijiko viwili vikubwa vya asali asubuhi na jioni kwa wiki mbili. Pia ondoa hofu kabisa ya hilo jambo linakwisha kabisa. Pole ndugu yangu.
  ANGALIZO: LAZIMA UONGEZE UWEZO WAKO WA KUNYWA MAJI YASIO YA BARIDI, AT LEAST KWA SIKU LITA 3. AMINI UMEPONA KABISAAAAAA.
   
 16. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2013
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 1,139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukitaka kupona kwanza hama ccm, na pia chukia ufisadi na madhambi y akina mwigulu then utapona dakika hiyohiyoa. ameen!
   
 17. Little John

  Little John JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2013
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Be serious mkuu, msaidie mwenzako kama unayo solution. Kuna mada za utani na nyingine si za utani.
   
 18. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2013
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 1,139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  litle john, u b serious, im i a doctor! af u never knw may be is a gay ila hajijui. let hm learn frm hm self. get me?
   
 19. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2013
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 37,075
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 83
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2013
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 37,075
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 83
  Mkuu omereyo Ulipata hiyo depression kwa sababu zipi? na je imeshaondoka hiyo depression? Ulishawahi kwenda kumuona Daktari kuhus hiyo depression? na alikwambia au alikupa dawa gani?
   
 21. mwekundu

  mwekundu JF-Expert Member

  #21
  Jul 13, 2013
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 15,248
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 48
  Anza kufanya mazoezi yooote...tofauti na kuinua chuma

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 22. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #22
  Jul 13, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,372
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 63
  Ustaarabu hauna gharama ndugu. Kama ulikuwa huna ushauri kwa kutoa si ungesoma tu upite? Unamtukana aliyeweka tatizo lake kwa kumuita gay kwa kosa gani hasa alilokufanyia? kama una dalili za ustaarabu utauchukua ushauri huu positively lakini kama hata hizo dalili huna, utatukana huu ushauri wangu. Ngoja nione
   
 23. sokwe

  sokwe JF-Expert Member

  #23
  Jul 13, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Kuna watu wengine humu ni wapuuzi sana! Mtu anasema nguvu zake za kiume zimepungua unasema labda ni shoga! Ulisoma wapi kwamba mashoga hawadindi? Labda ungesema -------, ndugu yangu mwenye Hilo tatizo nenda kaonane na endocrinologist inawezekana una upungufu wa testosterone homoni, Kama huna msongo wa mawazo, kisukari, high cholesterol au high blood pressure, achana na wajinga jinga wengine hapa jf, hawajielewi wapo hapa kwa sababu gani.
   
 24. health

  health JF-Expert Member

  #24
  Jul 13, 2013
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 328
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana omereyo. Usiwe na shaka wewe upo sawa kabisa wala hujalogwa. Cha kuzingatia ni kuachana na mambo mambo yanayochangia kupungua kwa nguvu kama unayo, pia kuzingatia kula chakula bora na kuzingatia zaidi vyakula vya nafaka kuliko vyakula vilivyokobolewa. Mambo ambayo yanachangia kupungua nguvu ni kama yalivyoelezewa na mchangiaji mmoja hapo juu. Pia unaweza kutumia lishe maalumu iliyoandaliwa kiasilia na isiyokuwa na madhara yoyote mwilini na pia imethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania. Maelezo ya lishe husika yapo hapo chini unaweza kufuatilia kwa faida yako na kwa mwingine pia.

  MAGILIM
  Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
  Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
  Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
  Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
  Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
  Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
  Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
  Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
  Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
  Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

  KAZI YA MAGILIM


  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

  REVIVE


  Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

  KAZI YA REVIVE


  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa


  CA + FE + ZI PLUS


  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

  FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA


  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

  FAIDA ZA MADINI CHUMA


  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

  FAIDA ZA MADINI YA ZINKI


  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.


  Kwa swali lolote au ushauri waweza kuuliza kwa kunipigia 0776491294/0713889162 au kuniandikia kupitia email [email protected]

  MAGILIM ni 62500/-, REVIVE ni 60500/- na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-
   

  Attached Files:

 25. mudushi

  mudushi JF-Expert Member

  #25
  Jul 17, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  omereyo,

  Nenda hospitali, mwone daktari atakueleza cha kufanya. Kama unaona ugumu niPM nikueleze uende wapi na cha kufanya.

  mudushi

   
 26. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #26
  Jul 18, 2013
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38

  Sidhani kama una tatilo la kutafuta dawa. nenda kwa dr.
  Achana na madawa, hayatakusaidia.
  utapoteza peza zako bure
   
 27. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #27
  Jul 18, 2013
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Kaka una hasira sana. wamekuingiza mjini nini?
   
 28. amon jason

  amon jason JF-Expert Member

  #28
  Jul 18, 2013
  Joined: May 13, 2013
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jipatie aloe gelly iliyochanganywa kwa virutubisho 200 Kwa matumizi yafuatayo
  kusafisha mfumo Wa damu
  kusafisha mfumo usagaji chakula
  asthma
  kisukari
  presha
  maumivu ya tumbo
  maumivu ya moyo
  kupunguza uzito
  kukosa hamu ya Kula na tendo la ndoa
  kungaarisha ngozi
  uchovu wa mwili na maumivu
  maumivu ya koo
  kusafisha kibofu
  kansa ya damu
  nguvu ya tendo la ndoa
  ugumba
  gonjwa la zinaa
  malaria.
  0713507487
  0767507487
  0782898210

  price 43000
   

Share This Page