Nguvu za kike!

respect wa boda

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
4,557
3,835
Wadau salaam,

Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitatizwa na jambo hili "NGUVU ZA KIKE" kwani imekuwa ni kawaida kusikia kuwa wanaume wengi wanaupungufu wa nguvu za kiume kiasi cha kushindwa kuwaridhisha wenzi wao. Lakini hata mara moja sijasikia wanaume wakilalamika kutoridhishwa na wapenzi wao.

Sasa maswali yangu ni mawili,

1) Je mwanamke kiasili anaweza kuumudu kupiga bao ngapi kwa mechi?

2) Je mwanaume nae kiasili anaweza kuumudu kupiga bao ngapi kwa mechi?

Nb, kina dada msaada wenu hapa unaweza kuwa muwazi kabisa kwa kutuambia angalau upige bao ngapi kwa mechi ndipo ufurahie penzi na mpenzi wako.

Iwe hivyo hata kwa akina kaka.

BACK TANGANYIKA
 
Mkuu Mimi nakujibu kwa swali.Kwani kati ya kinu na mchi ni kipi kinatakiwa kufanya kazi kwa nguvu ili nafaka zikobolewle?
 
Ni vyema ujue kua mwanaume huwa anatoa Manii sio kama mwanamke ambae anatoa aina flani ya maji...sasa we jifanye kidume piga bao 4 kila ukifanya ..ndani ya mwezi uone kama utainuka kitandani..infact...you are guaranteed to die early....Kama unataka kila ukifanye sex upige mabao mengi...
NB: kwa Viumbe wengine mfano Nyuki...Dume akisha toa mbegu tu anakufa..kutokana na energy anayopoteza...
 
Mimi ni ME. Kiukweli nikiwa 17-25 nilikuwa napiga 7-9 max mkesha mmoja ila kwa sasa napiga 4-6 max mkesha mmoja ila nachoka sana. sijawahi kutumia dawa yoyote. sasa sijui hao KE!!.
 
Mimi ni ME. Kiukweli nikiwa 17-25 nilikuwa napiga 7-9 max mkesha mmoja ila kwa sasa napiga 4-6 max mkesha mmoja ila nachoka sana. sijawahi kutumia dawa yoyote. sasa sijui hao KE!!.

Nina uhakika kuanzia bao namba sita na kuendelea itakuwa povu, sio bao tena
 
Mimi ni ME. Kiukweli nikiwa 17-25 nilikuwa napiga 7-9 max mkesha mmoja ila kwa sasa napiga 4-6 max mkesha mmoja ila nachoka sana. sijawahi kutumia dawa yoyote. sasa sijui hao KE!!.

kuanzia 6 utakuwa unatoa dawa ya jicho
 
Back
Top Bottom