Nguvu ya umma yamuondoa mkuu wa chuo CBE.

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Wafanyakazi wa chuo cha biashara waliunganisha nguvu kwa pamoja na kumkataa mkuu wa chuo hicho wiclief lugoe. Mkuu huyo anadaiwa kuondoa posho za nyumba, umeme na usafiri kwa wafanyakazi wote. Posho hizo zilianza kutolewa tangu mwaka 2003. Taarifa zinadai wafanyakazi walikesha wakisherehekea kutokana na kuondolewa kwa mkuu huyo ambaye amehamishiwa wizara ya viwanda na biashara.
 
kweli?
 
Back
Top Bottom