Nguvu ya umma yaigeuka CHADEMA

mimi nilikwenda kutafuta gazeti la uhuru leo mpaka makao makuu sikulipata, viongozi wakanambia sasa hivi wanatoa online copy tu maana uraiani hakuna anayelinunua

Duuhhh, sasa hapa pakuweje, hili gazetu limetukoleza kwa miaka mingi, mimi najua kidumu tu. Kweli njia ya muongo ni fupi.
 
kama watu kukaimu nafasi kwa muda mrefu ni dalii ya kuwapo hongo - je ni wangapi wanakaimu ukuu wa mikoa?
 
Ok. Lkn kuna hoja ya mapacha 3 wahame chama. Tukiweza hilo tutaigeukia cdm
hivi popo ni ndege au mnyama. Jf mtu anayenishangaza ni ms, utabiriki uko wapi. Kuna muda unaongea point sana kunakipindi unachafua hali ye hewa. Cjui malaria inakuwa imekupanda kichwani.
 
matapishi media hii utumbo mtupu kawadanganyeni hao hao wa 5000, kofia na tshirt
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom