hivi chadema ilikuwa wapi time kura zinahisabiwa?? Wananchi wamefanya badaliko kuchagua wabunge si rais jk bado ni chaguo la watz, ingikuwa ccm imechakachua bac hata udiwani chadema isingepata. Acheni lawama.umetumwa na wachakachuaji siyo? Kama sivyo hujui usemalo!