Nguvu ya umma: Eric Shigongo azomewa ashindwa kuzungumza

Eric Shigogo anajifanya mlokole wakati anatuharibia watoto na magazeti yake ya XX anayosambaza kila kukicha hakika atakuwa mkazi wa jehanam tu
 
Ameipata nguvu ya umma kama alikuwa anabisha kuwa haipo sasa ninahakika ataiheshimu. Ubunge sidhani kama atapata maana gari alilopanda linaelekea kuegeshwa safar hakuna
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezz Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Amejifedhehesha ukubwani!
Sielewi kwa vp mtu kijana kama huyu anafungwa uelewa na kushabikia ccm mbele za watu, wakati anajua ni mfupa uliomshinda fisi!
Anastahili alichopata, atatia akilini!
 
Wakuu. Shigongo amekutana na nguvu ya umma. Katika tamasha lake la uzalendo, ambapo alitaka kuanza kumwaga sumu juu ya harakati / maandamano za CHADEMA. Ile anaanza tu kuongea umma ukaanza kumzumia na kumtukana ikabidi atelemke jukwaani, Ameiona na kuijua "nguvu ya umma" source tbc habari ya saa nne am

Ndugu POMPO .. kuleta hii habari hapa mwenyewe unajiona shujaa... hongera,! anyways hata mimi simfagilii shigongo, sio kwasababu ni mshabiki wa chadema la! nachukia magezeti yake
 
Shigongo ni mkereketwa wa nambari wani. Kajaribu kugombea ubunge huko kwao usukumani mambo magumu. Nahisi sasa anataka kutokea hapa mjini. Kakosea njia huyu. Labda akagombee Zanzibar.
 
hahahahahahah......nilikuwepo kwenye tukio ngoma ilianza pale mc dokii kumtaja kikwete...watu wakaonesha vidole viwili juu...shigongo alivyopanda akaharibu kabisa..ningekua mtaalam ninge upload clip za tukio zima

Huyu shingongo ni nani?:lol:
 
Jamani tuweke pembeni u-CCM na u-CHADEMA..... Eric alikuwa na vision nzuri sana....Sisi sote ni Watanzania na tuna kila sababu ya kulinda na kudumisha AMANI ya nchi yetu.....Yatakapokuja machafuko na umwagaji wa damu hayataangalia mshabiki wa CCM, CHADEMA, CUF..... Naungana nae kabisa kabisa na vision yake ya kukutanisha watanzania wote....Hasa sisi vijana ambao rahisi kushawishiwa, kudanganywa..... na kufanya mamabo hatari ...(tumeyaona MISRI, TUNISIA na sasa LIBRYA)....Kuelezana kwa ukweli mtakabali wa taifa letu!! Mungu ibariki Tanzania na watu wake...AMEN
 
Ni lini kada wa Ccm atakuwa na nyusi
 
Ni lini kada wa Ccm atakuwa na nyusi
Kama alivyosema sumaye moja ya nguzo kupata kiongozi bora ni dola,kama dola ingekuwa kuna uadilifu moja ya kazi yao ni kuhakikisha wanaogombea nafasi mbalimbali ni watu waadilifu hata ikiwa ni diwani maana kumekuwa na move za wazi na kujipendekeza kwa watawala ili in future wapate nafasi kisiasa! Hv hata obama alijipendekeza kwa bush ili apewe nafasi? Hv ukiwa na moyo na dhamira safi na ukasimama kwenye ukweli usiotia shaka huwezi kuwa kiongozi? Mbona nyerere alipata uongozi kutoka kwa wakoloni bila kuwa mnafiki kwao,mandela alikopita tunajua,hawa viongoz wa sasa hawana mazingira magumu kama yale pengine kuhitaji vichwa kama mwalimu lakini hata kusimamia ukweli tu wanashindwa lakini wanahaidi kuleta maendeleo! Kwakweli nyerere tulimhitaji kwa miaka mingine mingi maana ndie pekee aliyeweza kusimamia ukweli na tanzania kwanza sio ccm kwanza na hakuna anaeijua ccm na misingi yake kama yeye but stil alitamka CCM SI MAMA YANGU! Hawa waliodandia kwa mbele kama shigongo wanatufanya wajinga,wapuuzi na pengine majuha!
 
Wakuu. Shigongo amekutana na nguvu ya umma. Katika tamasha lake la uzalendo, ambapo alitaka kuanza kumwaga sumu juu ya harakati / maandamano za CHADEMA. Ile anaanza tu kuongea umma ukaanza kumzumia na kumtukana ikabidi atelemke jukwaani, Ameiona na kuijua "nguvu ya umma" source tbc habari ya saa nne am

Na ivi ni karibu na makao makuu ya chadema siweza pinga kuwa mlijiandaa kwenda kuzomea, na aliwagundua mapema ndio maana akaamua kuwapotezea.Mngemsikiliza anasema nini kisha mkajibu hoja zake, lakini mlihofia kuwa angewabomoa ndio mkajihami kwa kuzomea. Hongereni sana kwa hilo. Najua atawatoa kwenye magezeti yake ya udakuzi
 
Mhh! shame on him.
Jamaa hana hadhi ya kuongea na manguri wa siasa kama CDM na mbaya zaidi tunaifahamu kazi inayomfaa siyo hii.
Tena mwambieni akae mbali na wanamageuzi wa Nchi hii unless tutaweka hadharani madhambi yake tangu akiwa na biashara ya kuonesha video mpaka hapo alipo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom