Habari za kuaminika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mdau huko Mwanza ni kuwa umati aliokusanya Dr.Slaa leo huko Mwanza haujapata kutokea na imemlazimu JK kwenda Mwanza tena kesho..
Naagiza vijana wanitumie picha niweke hapa
JK sasa anahaha na anatekeleza kila ushauri anaopewa hata kama ukiwa wa kipuuzi ilimradi ushauri uelekee kukilinda kiti cha urais.
Dah rais huyu kweli kiboko
nani aache kupiga kura.weeeee..nimeclick mpaka kwenye website ya nec jina langu lipo kwenye wapiga kura halali sasa msimamizi wa uchaguzi asinichanganye kabisa tar 31
TBC hawajaonesha kabisa picha.....mwandishi ameongea kutoka kwenye simu....nadhani huo umati hata hauchakaluchiki...
TBC wanathibitishia wanachi kwamba wanawabeba CCM tutaiona kesho ITV huyuJafari hata simu yake ilikuwa inakatika wakati wameonyesha umati wa LIpumba na Kikwete hawana adabu kabisa lwa kuwadhulumu haki ya kupata habari watanzania sijui TIDO MHANDO kahongwa milioni ngapi jamaniTBC hawajaonesha kabisa picha.....mwandishi ameongea kutoka kwenye simu....nadhani huo umati hata hauchakaluchiki...
Kukomesha zaidi wakajidai pic na sauti zimepotea!!! unafiki tu....