Quicklime Senior Member Mar 30, 2011 174 62 Jul 22, 2011 #1 Jamani wanajamvi ni kweli dawa ikiwekwa kwenye maji inapungua nguvu? Na kama inapungua nguvu hiyo inaenda wapi? Msaada wenu tafadhali....
Jamani wanajamvi ni kweli dawa ikiwekwa kwenye maji inapungua nguvu? Na kama inapungua nguvu hiyo inaenda wapi? Msaada wenu tafadhali....
njiwa JF-Expert Member Apr 16, 2009 12,366 5,501 Jul 22, 2011 #2 be specific dawa gani..?! kidonge ama iliyochupani