Nguvu ya CHADEMA yawatisha Polisi

Ila akili ya polisi, Shilogile anakubali ni "gharama" imetumika kuwaleta askari hao!mmhhh Jambo moja naliona Wakuu wa Mikoa ambao ni wateule wa Rais kulinda maslahi ya chama chake na ndo wakuu wa kamati za usalama na ndo wanaotoa amri/maelekezo yote ngazi ya Mkoa nao wanatuharibia kwa kiasi kubwa sana
 
Hawa viongozi wa cdm nao wanachosha kila siku wanalalamikia kukandamizwa na polisi na chama tawala. Maana ya uongozi ni pamoja na kutafuta suluhisho la changamoto hizo. Sasa wao badala ya kutafuta soln wanalalamika. Wasemi basi kama uongozi umewashinda wawapishe wengine. Hivi niwaulize wataweza vipi kuiongoza nchi wakipewa utawala? maana kuongoza nchi si lelemama.Tumechoshwa na kulalamika kwenu kila siku mnaonewa, tafuteni ufumbuzi wa haya mnayo yalalamikia, sio kila siku kujificha kwenye kivuli cha kuwa sisi hatutaki vurugu. Kama polis ni wafuasi wa chama tawala na nyie cdm si mnawafuasi wenu? kama ccm wanatumia wafuasi wao na nyie si mtumie wafuasi wenu?

Kiwango chako cha elimu tafadhali? Lack of civic education.
 
.....Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Nchimbi amesikika akisema

''....Nimewabana wapinzani..., speed yao imeshuka kama walivyopanda nayo...''{mwisho wa Kunukuu}.

Yaani ni Ulimbukeni wa Hali ya Juu kabisa.

Hata kama wakizuia nchi nzima, lakini hawataweza kuzuia mioyo ya Watanzania kukipenda CHADEMA.
 
Mheshimiwa Kadopo, kutumia nguvu ya wafuasi ni rahisi mno.Ni kuamrisha tu wafuasi wa cdm. Lakini madhara yake unalyajua? Jikumbushe Misri,na sasa Syria. Au ww ccm?
 
Hizi ndizo zile kauli ambazo haziwezi kutusaidia lolote, mioyo tu itasaidia nini kama haiendi na mikakati. Watu wanatumia gharama kuanda mikutano halafu siku ikifika polisi wamekataza, basi inatosha hivyo. Hawa wanaharibu rasmali za chama.

Kama ulijua kuwa polisi watakataza mikutano na huna mbadala wa kufanya, kwa nini uliundaa in the 1st place. nikisema ni uharibufu na upotevu wa raslimali nitakosea. Mh uliyemtaja lazima ajisifie maana strategies zake zinafanya kazi.
 
Mheshimiwa Kadopo, kutumia nguvu ya wafuasi ni rahisi mno.Ni kuamrisha tu wafuasi wa cdm. Lakini madhara yake unalyajua? Jikumbushe Misri,na sasa Syria. Au ww ccm?

Mh buringi, watu wote wangekuwa na mawazo kama yako basi duniani kote kusingekua na mabadiliko. Ila kwa wenzetu, watu kama wewe ni wachache sana tatizo ni huko tanganyika mbegu yenu wamezaliwa wengi sana.... mbegu ya kinafiki.

Haya madhara yaliyopo kwa masikini wa nchi hii huyaoni ila ya misri na kwingineko unayaona. ukipata namba ya watu wanao kufa kwa malaria kwa mwaka utashanga ukiilinganisha na wahuko ulikotolea mfano.
 
Hawa viongozi wa cdm nao wanachosha kila siku wanalalamikia kukandamizwa na polisi na chama tawala. Maana ya uongozi ni pamoja na kutafuta suluhisho la changamoto hizo. Sasa wao badala ya kutafuta soln wanalalamika. Wasemi basi kama uongozi umewashinda wawapishe wengine. Hivi niwaulize wataweza vipi kuiongoza nchi wakipewa utawala? maana kuongoza nchi si lelemama.Tumechoshwa na kulalamika kwenu kila siku mnaonewa, tafuteni ufumbuzi wa haya mnayo yalalamikia, sio kila siku kujificha kwenye kivuli cha kuwa sisi hatutaki vurugu. Kama polis ni wafuasi wa chama tawala na nyie cdm si mnawafuasi wenu? kama ccm wanatumia wafuasi wao na nyie si mtumie wafuasi wenu?

akili kama ya ssra
 
mwandule, nyakageni nimewapuza na kuwadharau kiasi cha kutosha, sababu ya kufanya hivyo si utu wenu bali ni hicho mlichoandika.
 
Hawa viongozi wa cdm nao wanachosha kila siku wanalalamikia kukandamizwa na polisi na chama tawala. Maana ya uongozi ni pamoja na kutafuta suluhisho la changamoto hizo. Sasa wao badala ya kutafuta soln wanalalamika. Wasemi basi kama uongozi umewashinda wawapishe wengine. Hivi niwaulize wataweza vipi kuiongoza nchi wakipewa utawala? maana kuongoza nchi si lelemama.Tumechoshwa na kulalamika kwenu kila siku mnaonewa, tafuteni ufumbuzi wa haya mnayo yalalamikia, sio kila siku kujificha kwenye kivuli cha kuwa sisi hatutaki vurugu. Kama polis ni wafuasi wa chama tawala na nyie cdm si mnawafuasi wenu? kama ccm wanatumia wafuasi wao na nyie si mtumie wafuasi wenu?

mkuu wakati unaandika hii post ulikuwa ukifikiria kwa kutumia nini? Maana kama kila chama kikiamua kuwatumia wafuasi wake Tz kutakalika? Pia kulalamika kwa cdm wanayohaki kwani tangia lini ccm wakaandaa mikutano yao ukasikia policcm wamezuia? Tunachotaka sasa ni uchaguzi wa haki, usawa na uwazi, ili mwisho wake tumthibitishe mwongo na anaemkandamiza mwenzake japo kila kitu kipo wazi
 
mkuu shine hayo mnayotaka mnategemea myapate katika silver plate kwa kuwategemea ccm wa waandalie na kuwaaletea, mtasubiri mpaka mfe hamyapati. kwa taarifa yako kule libya kila upande uliwatumia wafuasi wake, na kilichotoke saa hizi ni kuwa watu walibya wanaheshimiana na wanaendesha mambo yao kwa kuheshimiana.
 
Mkuu, Badilisha tittle ya mada hii isomeke "NGUVU YA UMMA YAWATISHA POLISI"
 
Back
Top Bottom