Nguvu ya CHADEMA yamwondoa DC Fatuma Kimario wa Igunga

Naona Pro-Chadema JF wameamua kujifariji na kujiliwaza...Rais kafanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya karibia mikoa yote sasa cha kuchekesha Chadema wamechukuwa jina la Mkuu wa Wilaya moja na kutanganza eti ni nguvu ya umma.


Wanajipongeza kwa zawadi ya juisi baada ya kulilia Pilau mwaka mzimaaaaa!!!!???
 
KUJUA ni Tofauti na KUDHANI

Sasa kama wewe unaendeleza DHANA poa.
Halafu serikali chini ya uongozi wa jk wamejenga hospital kubwa huko mabwepande ya kung'olea kucha meno na roho bila ya kuwataarifu wananchi kweli hii serikali ni sikivu
 
Yaani wewe pasco ndo mavi ya kuku kabisa!! Unadhani unaweza kulinganisha chadema au wabunge wa chadema na hayo mautumbo yenu ya ccm?? PM ana act kama katibu tarafa!spika ndo kilaza kabisa as if ana lead vikao vya kitchen party ya binti yake achilia mbali mauzauza yaliyopo magogoni..kaa kimya bwana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Infaltion ni UJINGA WA WADAU KUKAA KIMYA Walipopandisha bei ya Umeme kwa takriban 50%; na EWURA CCC walibariki; mimi kwa hilo siwaelewi. Na hivi jana Mkurugenzi wa BoT anasema eti wame revise tarehe ya kuwa na single digit rate kuwa June 2013. Huu ni UTUMBO. Economic Management haifanyiki hivo. Na mimi nishasema sana kuhusu hilo humu.

Turudi IGUNGA.

Uhamisho ulikuwa wa KAWAIDA na sio nguvu ya CHADEMA; kwanini tusikae kimya kuliko kusema jambo
kwa dhana tu; tena dhana binafsi?

Wewe makame utakuwa una matatizo ya uelewa na unajitengenezea maneno hewani. Kwanini nasema hivi? Kwasababu makala imesema waziwazi kuwa uhamisho wake ni kwasababu ya kutokuwa na mawasiliano mazuri na wananchi wa Igunga. Hii ndio sababu kuu na ya msingi wa uhamisho wake.

Sasa uhusiano huu mbovu umeanzaje? Tukio la chadema ni moja ya sababu, hivyo unavyong'ang'ania eti hajahamishwa kwa msukumo wa chadema ni unapingana na sababu ambayo umejitengenezea mwenyewe. Pili, umeulizwa swali ni nani mwingine amehamishwa nae katika batch hii?

Kwasababu, maDC wengine walisharipoti toka mwezi May, yeye kapata uhamisho wiki mbili zilizopita. Usiweke hisia zako katika kila jambo unalotaka likupendeze wewe
 
KAMA INGEKUWA NGUVU YA CHADEMA; uhamisho ungefanyika siku nyingi. Ni uhamisho wa KAWAIDA. Watu wanapenda ku conclude wanavyotaka. Ndio maana kichapo cha Dkt Olimboka wanasema ni Serikali

Sasa wewe unafikiri ni nani?
 
KAMA INGEKUWA NGUVU YA CHADEMA; uhamisho ungefanyika siku nyingi. Ni uhamisho wa KAWAIDA. Watu wanapenda ku conclude wanavyotaka. Ndio maana kichapo cha Dkt Olimboka wanasema ni Serikali

Hapo kwenye red, inaonekana unawajua waliohusika na kichapo hicho itabidi uisadie polisi!
 
You are fighting with WEAK

Lets play a game!!!!
CDM ni chama cha Wachaga na Wakristu
LEMA ni kilaza
ZITO ananyanyaswa kwa sababu si wa aina yenu

Tuanze hapo!!!!!
Zitto ananyasisika kwa vile hajaweza kamilisha kazi isiyo halali ktk nyumba ya CDM,na watanzania.Hayo mengine kwa ulelewa wako duni hutakaa upate majibu kama hadi hapa hujawahi jibiwa na wahusika.
 
Back
Top Bottom