Naungana na watanzania wenzangu kulaan kitendo cha utovu wa nidhamu kilichoonyeshwa na Mh.Wenje kipindi cha ziara ya waziri Mkuu Mh.Pinda
Mh.Wenje amekua si mngwana na ameonesha kutokomaa kisiasa,imetusikitisha sana wana Mwanza hasa sisi watu wa Nyamagana na tunajuta sana kumpeleka Bungeni bwana Wenje.
Mtu anapokuwa waziri mkuu huyu ni mtendaji mkuu wa serikali na ni mtumishi wa watanzania wote,bila kujali itikadi ya Chama kitendo cha Mh.Wenje kuwapatia posho wamachinga na kuanza kuimba peoples' si uungwana kabisa.
Tunaahidi kwamba uchaguzi ujao Chadema hawatakuwa na nafasi tena Jimbo la Nyamagana.
....akazomewa.....akazomewa......baada ya .....akazomewa!
Hakika pinda ni mvumilivu sana angekuwa mtu kam Nchimbi ange agiza polisi wazitumie hizo silaha za kivita papo hapo.
Kweli pinda amekutana na visiki vya mpingo!