Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

Malkia akiweka handbag lake mezani ujue anataka kuondoka baada ya dakika tano, na wakati mwingine akianza kuweka mkoba mara kulia mara kushoto ujue ameboeka na story anataka jamaa aondoke hizo ni ishara kwa aide wake
 
Mume wa Queen anaitwa Prince Philip yaani kila anapokwenda na malkia lazima amuaibishe kwa maneno yake makali na maudhi.
Alimuona raisi wa Nigeria akiwa kavaa zile nguo zao akamwambia naona uko tayari kwenda kulala.

Akaulizwa na waandishi wa habari Je unategemea kwenda kutembea Urusi akasema ningependa kwenda lakini wanaharamu wameuwa nusu ya familia yangu.
Nyingine alienda Papua new Guinea wakawa wanacheza kumfurahisha Queen
akawauliza mmeacha kula watu?

Alialikwa kuzindua machine ya vacum cleaner, wakati wa demo haikufanya kazi. Akauliza hiki ni kiwanda cha muhindi? Mpaka leo wahindi wanamchukia sana kwa utani wake.
 
Mume wa Queen anaitwa Prince Philip yaani kila anapokwenda na malkia lazima amuaibishe kwa maneno yake makali na maudhi.
Alimuona raisi wa Nigeria akiwa kavaa zile nguo zao akamwambia naona uko tayari kwenda kulala.

Akaulizwa na waandishi wa habari Je unategemea kwenda kutembea Urusi akasema ningependa kwenda lakini wanaharamu wameuwa nusu ya familia yangu.
Nyingine alienda Papua new Guinea wakawa wanacheza kumfurahisha Queen akawauliza mmeacha kula watu?
duh!! uyo jamaa atakuwa na undugu na Mo11 hahah
 
Mume wa Queen anaitwa Prince Philip yaani kila anapokwenda na malkia lazima amuaibishe kwa maneno yake makali na maudhi.
Alimuona raisi wa Nigeria akiwa kavaa zile nguo zao akamwambia naona uko tayari kwenda kulala.

Akaulizwa na waandishi wa habari Je unategemea kwenda kutembea Urusi akasema ningependa kwenda lakini wanaharamu wameuwa nusu ya familia yangu.
Nyingine alienda Papua new Guinea wakawa wanacheza kumfurahisha Queen akawauliza mmeacha kula watu?
Huyo mume wake yupo hai mpaka sasa??
 
Hapo ndipo ninashindwaga kuwaelewa....sijaona matendo maovu ya huyu malkia kiasi cha kum_,term kama devil daughter....mara sijui freemason matron how.

Umasikini wa akili na kipato unatumemena sana africa...sababu hata hizo dini zinazotuaminisha habari za devil vs god...ni hao hao wametetea...lakn leo hii tunajifanya wajuaji mpaka kuwaona wao ni devils na sisi ni godly.....hii ni kitu na chipu linalohitaji mtumbuaji jasiri.
Acha ujinga wewe eboo!
 
ubwa wewe, yaani Mungu wangu unamfananisha na huyo takataka anayesubiri kuoza? eti next to God bora ungeweka god ila God? ukome kabisa usirudie tena.
Aiseeeee.....and who is your God chief....just curiuos to know..!
Huyo Mungu wako ndio kakutuma uite watu pumbafuuu...[/QUOTE]
Sorry reply ililenga kwa mwengine..
 
Wanaoamini juu ya freemasonry, aliens, uchawi, ulozi, ushirikina ni watu wenye upeo Mdogo sana wa kufikiri sababu yote hayo hayapo.
......@bufa / upeo wa uelewa hutofautiana....../ ishike imani yako!......./usitetereke kamwe
 
Back
Top Bottom