Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

Mume wa Queen anaitwa Prince Philip yaani kila anapokwenda na malkia lazima amuaibishe kwa maneno yake makali na maudhi.
Alimuona raisi wa Nigeria akiwa kavaa zile nguo zao akamwambia naona uko tayari kwenda kulala.

Akaulizwa na waandishi wa habari Je unategemea kwenda kutembea Urusi akasema ningependa kwenda lakini wanaharamu wameuwa nusu ya familia yangu.
Nyingine alienda Papua new Guinea wakawa wanacheza kumfurahisha Queen akawauliza mmeacha kula watu?
isee nimecheka
 
Mkuu me nakubaliana na ww sana, kiongoz wa level ya rais anatakiwa awe kila kitu, tatizo sie waafrica viongozi wetu hawana nia njema, ndo tatizo liko hapo, hata system inayowachagua sio credible, me nasema ingekuwa tuna viongoz wasio na hila kulikuwa hakuna hata haja ya kupoteza mahela mnafanya uchaguz wa nn? wangebak hao hao as long as tuna peace, watu wanafanya shughul zao, na wao hawatuibii.

Kwa wasioelewa hizo zinaitwa " PREROGATIVE POWERS'' ambazo hata Tanzania kwa kuwa tilirithi legal system ya huko tunazo kwenye katiba angalau kwa uchache na ndizo hizo watu wasioelewa wanapiga kelele eti ....!!! power za Raisi zipunguzwe. kutakuwa na umuhimu heshima , na woga kwa raisi akiwa hana power za ziada tofauti na raia au viongozi wengine? Raisi ni symbol ya umoja, nguvu na mamlaka kwa watu wake, ni nabiii wa kutoa mwongozo sahihi kwa watu wake na ni alama ya kitisho kwa maadui wa nchi hivyo anatakiwa awe na nguvu za ziada.
 
Mume wa Queen anaitwa Prince Philip yaani kila anapokwenda na malkia lazima amuaibishe kwa maneno yake makali na maudhi.
Alimuona raisi wa Nigeria akiwa kavaa zile nguo zao akamwambia naona uko tayari kwenda kulala.

Akaulizwa na waandishi wa habari Je unategemea kwenda kutembea Urusi akasema ningependa kwenda lakini wanaharamu wameuwa nusu ya familia yangu.
Nyingine alienda Papua new Guinea wakawa wanacheza kumfurahisha Queen akawauliza mmeacha kula watu?
Hahhaaha! mmeacha kula watu??? Aisee jamaa katisha,akija bongo atauliza mmeacha kung'oa watu meno na bisisi?

Akiona wamasai atawauliza,vp hayo mashuka mchana umekimbia fumanizi??

Akienda kutembelea sumbawanga apo ndo balaa sasa,usishangae kuuliza vp mmeacha uchawi.
 
1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni

2.Husafiri bila passport nje ya nchi

3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully

4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.

5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela

6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria

7. Ana uwezo wa kutolipa kodi

8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha

9. Ni malkia wa Australia pia

10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.

11.Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana

12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia

13. Anakinga ya kutoshitakiwa

14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames

15. Anauwezo wa kumteuwa spika kwa amri yake
Kwa yoooote hayawazungu wanaona sawa tu! Ila Mfalme muswati kuchuma katika himaya yake roho zinawauma!

Kenge kabisa
 
Back
Top Bottom