Exaud Minja
Senior Member
- Mar 13, 2009
- 100
- 13
Jana nilimla mnyama kwa fujo kweli, kilo mbili peke yangu,duh basi miili yetu itakuwa imejaza ARVs kibao!! Sasa kwanini ngoma inapukutisha hivo?
ARVs haizui kupata ngoma inarefusha maisha kidogo kwa kukuongezea upepo kwenye nyama za mwili uwe angalau na umbo la kawaida.
Kwa hiyo ngoma itaendelea kumaliza tu na hizi dawa za kuongeza kuvu za kula uroda ndio balaa kabisa kwasababu hata wenye nguvu zao bado wanazitumia mwisho wanafia kitandani.