Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
mkuu, hayo mambo ya kawaida kabisa.watu walivyo hojiwa kule musoma wamedai kwa mtu kuzaa kinyonga au mdudu mwingine si vitu vigeni..
hapo kati Kigoma, watu wanaweza kuweka mimba pause, yani mkeo anapata mimba kipindi cha kilimo, unaweka pause hiyo mimba, anatumika shamba kwanza kwa miezi miwili mitatu halafu ndo unaiachia tena....kwa hiyo mama anakuwa na mimba ya miezi 12-13, kitu ya kawaida.
Au umeshasikia mimba inahamishwa?, anapata mimba mke wa jirani mpaka miezi sita saba au hata tisa, then mama anajifungua hewa tu!!, tumbo linaisha ghafla, mimba inahamia kwa mkeo!!!!