Ngurdoto Mountain Lodge ni ya nani?

Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,767
4,034
Wana JF, heshima kwenu. Kuna swali najiuliza siku nyingi ila sipati jibu. Naomba kuliweka jamvini ili mwenye jibu anipatie kuwa "Ngurdoto Mountain Lodge ambayo shughuli nyingi za kitaifa na kimataifa zinafayikia ni ya nani hasa".

Kama lilisha jadiliwa hapa, basi naomba hii threadiondilewe.
 
Kwa sababu ndio hotel yenye hadhi, na imewapa ajira wa tz wengi hongera mzawa mwenzetu.
 
Huu ni uchokozi tu, kwani hii lodge inahusiana viti na siasa?Naona unaulizia kwenye jukwaa la siasa.
 
Watanzania tunaweza.

Mnashangaa nini mZawa kumiliki Hotel ya kitalii?

Shughuli nyingi za Kitaifa zinafanyika Ngurdoto kwa sababu ya Strategic Location, Management and Super quality Service.

Kuna usalama kwa viongozi kuliko Hotel nyingine.

Pia ipo katika mji wa Kitalii, hivyo ni kuvutia wageni pia.

Acheni kuspin maneno
 
Mzawa akiwa na kitu...tunakuwa wepesi kuhusisha na mambo flani!
Tuacheni hizo.... FYI owner wa hii Lodge anamiliki nyingine equally prestigious.
Tutakuwa mikia hadi lini?
 
Huu ni uchokozi tu, kwani hii lodge inahusiana viti na siasa?Naona unaulizia kwenye jukwaa la siasa.

PRTTY, sina nia mbaya ya kuuliza wala sijui/sina tabia ya kuchokoza. Ninachota kujua ni ukweli wa mambo ili nisiendelee kuliwazia jambo hili.
Kuweka thread kwenye jukwaa la Siasa ni kwasababu shughuli nyingi zinazofanyikia hapa kwenye hii hoteli ni za kisiasa zaidi.
 
Mzawa akiwa na kitu...tunakuwa wepesi kuhusisha na mambo flani!
Tuacheni hizo.... FYI owner wa hii Lodge anamiliki nyingine equally prestigious.
Tutakuwa mikia hadi lini?

Yeah! Kwa pesa alizochuma kwa njia za kifisadi sitashangaa akiwa nazo hata 20 za namna hiyo. Hii thread hapa ilipo ni mahali pake. Ile hoteli ina mahusiano makubwa sana na SIASA.
 
Anayemiliki hii Hotel si ndo mmiriki wa Impara Hotel ya Arusha? aliyedhulumiwa kubinafsishwa hotel ile ya 77? Mimi ndo ninavyofahamu, pia na mastaff mwajili wao ni mmoja huyohuyo. Huyu jamaa namsifu kwenye ujasiliamari yuko serious sana.
 
Ni ya Mzee mwenye Impala na Naura Spring, jamaa ana bidii sana sijui usiku analala saangapi, saa usiku unamkuta ofisini kwake pale Impala ukiamka asubuhi unamkuta pale pale, ni hardworking na down to earth.
 
Anayemiliki hii Hotel si ndo mmiriki wa Impara Hotel ya Arusha? aliyedhulumiwa kubinafsishwa hotel ile ya 77? Mimi ndo ninavyofahamu, pia na mastaff mwajili wao ni mmoja huyohuyo. Huyu jamaa namsifu kwenye ujasiliamari yuko serious sana.

Asante Mkuu K4Jolly!
BORA UMESEMA...Impala za Arusha na Moshi na Naura Springs if im not mistaken.
 
Yeah! Kwa pesa alizochuma kwa njia za kifisadi sitashangaa akiwa nazo hata 20 za namna hiyo. Hii thread hapa ilipo ni mahali pake. Ile hoteli ina mahusiano makubwa sana na SIASA.

Serikali ilikuwa inamiliki baadhi ya hoteli huko Arusha, Mfano Hotel ya Mount Meru na hotel ya 77, ambazo sasa zimebinafsisha au zimekufa. Iweje serikali isikarabati hoteli hizo ziwe na hadhi ya kimataifa badala yake inafanyia shughuli zake kwenye hotel za watu binafsi kwa gharama kubwa?

Bei ya room kwenye hii hoteli:
US$ 220 kwa mtu kwa siku - Executive room

US$ 2000 presidential villa kwa siku

Hizi ni gharama za malazi tu, bado matunizi mengine. Hivi kwe kama hakuna mkono wa mtu/Mkuu hapa, kwanini serikali ipoteze pesa nyingi hivi kumlipa mtu binafsi wakati inauwezo wa kujenga hotel nzuri tu hapa Arusha?

Kuna hoteli nyingine sijui inatwa Snow Crest au ---, pia nayo nasikia kuna mikono ya wakuu.

Tusubiri
 
Badala ya kuulizia shule bora kuzungumzia namna ya kuweza kuukabili umaskini, ujinga na maradhi unaolikabili taifa unazungumzia mmiliki wa Ngurdoto atakusaidia nini? It makes no difference to me whether Lowassa owns the hotel or not. The truth is I can not set a foot to the hotel lawn let alone dream of sleeping in. Because of what? I am an ordinary poor Tanzanian who thinks of how to survive and not starve. The Ngurdoto will remain the luxurious place for those who are privilleged and some few bad rotten apples of "ufisadi" with their remnants who sing a song of "utalii" wa ndani as a scapegoat.

Arusha's life is expensive as hell. The city is well surrounded by expensive hotels,suites and lodges. But the bottom line is that people are suffering with hunger, malnutrition,lack of water, electricity, marginalisation like those people of Loliondo and so on. So lets talk of some sense here in JF not about who owns what and why its look like a tabloid to me now. Inakera.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom