Nguo za mitumba, je wapi bei nzuri kwa jumla- dar ,zbar au kenya

Mar 5, 2012
92
23
Habari wadau,
Kama mjuavyo, hapa ndio nyumbani. kuna mtu ameniomba ushauri wa wapi anaweza kupata mitumba kwa bei ya jumla, amesikia kuwa pengine bei inakuwa nafuu kenya, mara zbar, mara hapa hapa kko dar es salaam. Ameniomba ushaauri. tafadhali wenye uzoefu. yeye yupo dar es salaam. pia kama mnamfahamu mtu anayeuza kwa jumla, naomba mni-PM namba yake. hususani nguo za akina mama/dada
 
Back
Top Bottom