Nguo ya Ndani ya Mpenzi Wako..Mx

Fazaa aisee mimi niseme kweli kabisa, naamini rangi ya chupi kwa mwanamke ya matter.... Sielewi swagger zenu wakati kwa kutaka kufanya tendo lipo vipi..... Kuna njia tofauti za kufanya mapenzi tokana na mazingira, hamasa, ugongo na the like....


  1. Mmepanga na kufunga safari mnaenda kubanjua.
  2. Mnajikuta hamu yaja tu kwamba ghafla woote ama mmoja wao ahitahi kwa nguvu na haraka iwezekanavo.
  3. Mnaandaa maeneo hasa kama ni speacial occassion (kama anniversaries, birthdays, valentine ama tu mwaamua siku hio iwe speacial ikiwa imeambatana na mazingira hamasishi kama music, candle light, good smell, snacks, - yaani mmeamua kuspend labda the weekend humo chumbani)
  4. Usiku tu mmeamka na mna midadi.....
Sasa Fazaa as a woman nimegundua kua labda mume wangu ana tension fulani na najua kua good sex ita relieve some of the stress, naamua kuvaa kitu sexy (cha chumbani) kama lingerie nyepu au nyekudu..... Hio hamasa atazopata nikiingia na swagger ni sawa na nikiingia tu namchupi wa dark blue wala hauna mvuto wowote? SIAMINI.... Wapo wanaojali rangi ya chupi na it matters kabisa! labda kama wewe Fazaa siku zoote wamparamia tu mke/mpenzio....:A S embarassed:

Aise!! umeongea hadi umenihamasisha Mkuu AshaDii
 
Mi napenda wangu avae ya pink,white au light blue yani hapo ananimaliza,nikiona tu ule mstar wa chupi lazima gem lipigwe ye mwenyewe anajua hivyo
 
From what I know, Nguo za ndani za mwanamke anayepaswa kuzinunua ni mwanaume kwa hiyo kama unatimiza majukumu yako ipasavyo utakuwa unamnunulia zile ambazo zinakupendeza wewe pia,,vivyo vivyi kwa mwanaume mpenzi wake anapaswa kumnunulia nguo za ndani hapo hapatakuwa na kelele.
 
Habari Zenu wana MMU!!nimeona leo nizame pande hizi kwanza tujuzane maujanja ya Mahusiano cunajua tena mapenzi yana kimbiza dunia...au sio?..sema ndiyo basiii....!hata kujibu shida kah!haya bwana I hope kuna baadhi yetu tunawapenzi na wachumba hata wake piya mnao hata wanaume zenu japo wengi wana Jf wameweka wako Singre..leo nataka tuongee kitu kimoja..Wapendanao wengi hukerwa na rangi za ndani za wapendwa wao but huwa wanashindwa kuwaambia aina ya rangi ambazo wangependa zivaliwe na Wapenzi wao..vipi wewe wakwako unajua rangi uipendayo?..na wewe wajua apendayo?..hebu funguka basi rangi hiyo...ma side na penda Mpenzi wangu akivaa chupi ya rangi ya Pink na Nyeupe...rangi hizo nazipenda sana...Mx

Upupu tafuta njia yakujia humu
 
Vaeni rangi zote ila chupi jekundu na jeusi, kijani, njano...mmh! Labda ziwe bikini.
 
Mbona hamzungumzii bra? Maana kuna rangi za chupi zingine kupatia bra yake ni kazi!
 
miye imradi chupi ya wife iwe na kale kaua kwa mbele sijui mnakaita ribbon it doesnt matter ni ya rangi gani
 
mimi napenda chupi ya rangi ya kijani na kwa mbele iwe na michoro ya njano ya jembe na nyundo na maandishi ya ((*
 
Kongosho mia napenda sana avae yenye mchanganyiko wa wangi za bendera ya taifa. Afu belt lake liwe blood red.[/QUOTE said:
Kongosho nakufurahia mara nyingi hunipa sababu ya kucheka au kutabasamu.
 
yaaaani hakuna kinachonifurahisha kama nikimkuta au kumwona akiwa amevaa ile aliyozaliwa nayo!!!haya maa artificial siyapendi kama nn
 
Back
Top Bottom