Ngumu kuwaelewa wasichana...

Ha ha ha!... Nimechelewa kupata taarifa zako, wewe mwenyewe wajua zingenifikia mapema ningekuanzishia...afu mgonjwa wangu bado afya haijakuwa nzuri, ongezeni kumwombea..
Tutaendelea kumwombea...mpe pole sana. kwa sasa anasumbuliwa na nini?
 
Mmmh!may be ningejua umri wenu,jinsia yako na staji ya huo uhusiano ningeweza kusema chochote coz naona imekaa kipyupil sn!
 
Mmmh!may be ningejua umri wenu,jinsia yako na staji ya huo uhusiano ningeweza kusema chochote coz naona imekaa kipyupil sn!

1. Jinisia yangu; ME
2. Uhusiano wetu ;NORMAL FRIENDS.
3. Our Age; ABOVE 20 below 30.
 
labda huwa haogi ndo maana kakasirika...........

ila zungumza nae, mwambie unavyoshindwa kumuelewa na akueleze sababu za kukasirika...
 
Marayamwisho kunipigia simu aliniuliza nilipo, nikamwambia nipo napata dinner hotelin, akakasirika eti kwanin sikumkaribisha ajiunge nami, jana tena kanipigia na kuniuliza nafanyann, nikamwambia naenda kuoga na kumkaribisha aungane namimi, lakini amechukia tena.....

duh...
kazi ni kwako
 
Seems to me you just want to take an advantage of her but you are not ready to spend anything to get her.
USIONE VINAELEA VIMEUNDWA. ANZA NAWE KUVIUNDA NA UTAVIFAIDI.
 
Kuna mwanajamvi mmoja humu alisema kuwa mtu mke usitake kumuelewa (kwakuwa haeleweki )we mpende tu.
naomba nkushrikishe katika kukubaliana na mwanajamvi(jna lake limentoka)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom