Ngozi Okonjo-Iweala on Aid versus Trade

I like her spirit and passion. Unajua suala la ajira ni suala tete sana, na wanazuoni kadhaa wanadai vuguvugu la nguvu ya umma kwene nchi za kiarabu limesababishwa kiasi kikubwa na unemployment & underemployment, kwamba watu wana vipato duni visivyokidhi mahitai ya kibinadamu na hakuna matumaini ya hali kuimarika. Sasa sijui sisi tunakoelekea maana hata takwimu zinyewe ni tabu kuzipata na serikali kwa kuita tu wawekezaji kwa matumaini kwamba watangeza hizo ajira bila ya kuwa-monitor na kuona wanaleta impact gani. Sad.
 
Huyu mama alikuwa waziri wa fedha wa Nigeria,sasa akipambanishwa na former waziri wa fedha wetu ambaye sasa ni rais ndiyo utajua priority za watanzania ni zipi,siasa zetu wabongo ni tofauti sana na kupata mabadiliko ni lazima kuwe na revolution,kwasababu unaambiwa na Sir Ken Robinson kuwa reform ni sawa na kujaribu ku maintain a broken model,ina maana reform si change,na ukiangalia kwa karibu,siasa zetu tunajaribu kufanya reforms lakini hatutaki kupata mabadiliko,yani revolution...Na mabadiliko yanaletwa na innovation,at the same time innovation ni ngumu sana kwa wadanganyika kwasababu ni lazima ukubali kuwa mazingira yaliyomo hayafai,yani tuache kutake mambo for granted,kwamba ooh kuna amani,basi hatuna shida.Ama kwasababu nina uwezo wa kupata mlo mmoja kwa siku basi poa tu...Yani yale yanayotusorround hatuoni kama ni shida,ndio maana si tabu watu kuishi na uchafu kama hapo Dar....Na pia kuishi na ufisadi na mafisadi,shangaa eti ni tabu kuwashughulikia mafisadi ambao wamelifanya Taifa letu kama Jalala.
 
Back
Top Bottom