Ngorika ajal

Nila kutoka Tanga~Arusha. Hakuna aliyekufa. Chanzo 'tairod hend'. Ni kabla hedaru
 
Chanzo. Kuchomoka 'tairod hend'
sosi:mim mwnyw natoka Dar naelejea Arusha....
 
Mkuu Vipi Hali ya Abiria waliokuwemo ndani ya Basi hilo???


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Bado nina wasiwasi na 'service' za mabasi yetu! Kuna ubabaishaji!
 
tumshukuru Mungu kwa hilo....kila siku gari ipo barabarani wakati mwengine hata service hazifanyiki
 
Back
Top Bottom